Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
hiyo hiyo kabla haijanunuliwa Na mwarabuZamani alikuwa una favour timu IPI vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo hiyo kabla haijanunuliwa Na mwarabuZamani alikuwa una favour timu IPI vile
Liverpool jitoeni kwenye ligi KUUNGA mkono juhudi za Guardiola, anachofanya Mancity ndio myie mnakipigania.Mechi 18 win 17 draw 1
Itakuwa mpira unaangalia kwa kutumia makalioDe Bruyne anapiga interception??? How?
De Bruyne anapiga interception??? How?
True! Watu tumekaa miaka mingi tunasema EPL n ligi ngumu duniani, lakini anakuja huyu jamaa anataka kutangaza ubingwa mwezi MarchBila ya shaka wewe ni mmoja wa wakereketwa wa anachokifanya Guardiola ndani ya EPL kwa sasa.
Achana na wenger ww, lengo lake huwa ni top4 tu....... ila kwa timu lengo lao n kuchukua kombe alafu ikachika namba 2 hapo wameharibu. Ndo tumu kubwa kama wakino barca wanafukuza makocha tuhivi kuwa wa pili kwenye epl au wa tatu ni kuharibu?? mbona wenger anasifiwa sana na wengine hata 4 bora hawafanikiwi na wanasifiwa sana
Style yao ya kupoteza muda ni tofauti wanawapiga chenga kwenye vibendera huku wanawagongeshea mipira mnatoa nje mixture angaisha bwege, sio kama ma team mengine yanapoteza muda kwa kujiangusha na kuchelewa kurusha mipiraKwa ManU walicheza tofauti. Walipoteza muda sana dakika za mwishoni
Ahahaaaah...Haina maajabu yoyote yale
Hahahahaha barafuyamoto
Liverpool jitoeni kwenye ligi KUUNGA mkono juhudi za Guardiola, anachofanya Mancity ndio myie mnakipigania.
Bado mapema sanaGuadiolla apewe tu Kombe lake...
Unamaanisha mzunguko wa pili mkuumsimu wa pili bado atapunguzwa nguvu tu
Wapimwe mkojo tu hakuna jinsiNipo hapa nashuhudia wakitoa kipigo cha mwizi kwa Totenham Spurs cha goli 4. Daaah, hawa jamaa msimu huu aisee, wananikumbusha Arsenal ya msimu wa 2004/2005.
Mkuu utanisaidia kama hao bernado na David ni ndugu au majina kuendana tuBernardo Silva anaweza kushika nafasi ya David Silva kama midfield creator. Ila hakuna anaeweza kucheza nafasi kama ya De Bruyne . Huyu ndo engine ya Man City.
Mkuu upo umepotea sana huyo ndio pep hatariMkuu man city hatari sana
Nadhani January itapendeza zaidi.True! Watu tumekaa miaka mingi tunasema EPL n ligi ngumu duniani, lakini anakuja huyu jamaa anataka kutangaza ubingwa mwezi March