Man City hii sasa sifa, khaaa..!!!

Man City hii sasa sifa, khaaa..!!!

Guardiola naona ligi za ulaya anazionea sana aisee. Kama yeye kichwa aje VODACOM PREMIER LEAGUE, akiweza kweli atakuwa kashindikana. Hapa atapigwa juju mpka atakimbia. Wachezaji vichwa vigumu mixer uchawi...!!! Atahama mwenyewe
Hahahahaha
 
Atapigwa Moja ndefu na man[emoji90]ra [emoji23][emoji23]
 
Hawa jamaa wanachonifurahisha ni kwamba wana spirit ya ajabu sn. Ukiwaangalia dakika ya 80, utafikiri mpira ndo unaanza. The very same spirit wanayokuwa nayo kusaka goli la kwanza, ndo hiyo hyo wanakuwa nayo wanapokufunga goli la 5, hata kama ni dakika ya 88 na wewe hujafunga hata moja.

Kwa ManU walicheza tofauti. Walipoteza muda sana dakika za mwishoni
 
Aisee kweli wewe ni jitu jeusi yaani unaona nyeusi nyeusi tu yaani 18 games win 17 unasema tunampa sifa
Yeah!, mna mpa misifa. Lakini kitendo cha kushida mechi 17 anastahiri pongezi nyingi tu.

Mm ntampa misifa kama yenu endapo next season akifanya kama hichi anachofanya

Kwann nasema mnampa misifa????
Msimu uliopita aliharibu kwaiyo msimu huu kifanya hivyo tunasema neutralization(kwenye chemistry).

Pia kumbuka kunakitu kinaitwa winning spirit kama unakumbuka Leicester alivyofanya yake kipindi cha nyuma + chelsea last season........ ndo maana nasema tusimpe misifa hadi next season afanya kama anachofanya sasa
 
Jamaa anatunyoosha, yani mpaka hivi sasa Everton peke yake ndiye kanusurika kaambulia suluhu, wampe tu kombe lake.Yaani jamaa wakikufunga hauna cha kuongea, maana wanakuzidi kila kitu kuanzia magoli,kona, shot on target, shot off taprget na possession zote zao, labda wewe utawazidi kadi za njano na nyekundu.
game ya arsenal walibebwa
 
hivi kuwa wa pili kwenye epl au wa tatu ni kuharibu?? mbona wenger anasifiwa sana na wengine hata 4 bora hawafanikiwi na wanasifiwa sana

Yeah!, mna mpa misifa. Lakini kitendo cha kushida mechi 17 anastahiri pongezi nyingi tu.

Mm ntampa misifa kama yenu endapo next season akifanya kama hichi anachofanya

Kwann nasema mnampa misifa????
Msimu uliopita aliharibu kwaiyo msimu huu kifanya hivyo tunasema neutralization(kwenye chemistry).

Pia kumbuka kunakitu kinaitwa winning spirit kama unakumbuka Leicester alivyofanya yake kipindi cha nyuma + chelsea last season........ ndo maana nasema tusimpe misifa hadi next season afanya kama anachofanya sasa
 
Yeah!, mna mpa misifa. Lakini kitendo cha kushida mechi 17 anastahiri pongezi nyingi tu.

Mm ntampa misifa kama yenu endapo next season akifanya kama hichi anachofanya

Kwann nasema mnampa misifa????
Msimu uliopita aliharibu kwaiyo msimu huu kifanya hivyo tunasema neutralization(kwenye chemistry).

Pia kumbuka kunakitu kinaitwa winning spirit kama unakumbuka Leicester alivyofanya yake kipindi cha nyuma + chelsea last season........ ndo maana nasema tusimpe misifa hadi next season afanya kama anachofanya sasa
Bila ya shaka wewe ni mmoja wa wakereketwa wa anachokifanya Guardiola ndani ya EPL kwa sasa.
 
Unstoppable halafu mchanganyiko wake anakufunga kila mchezaji kuanzia beki
Halafu wanapiga pace za counter attack ya kasi sana -hizi modifications za tick taka Pep sijui kazitoa wapi?haiwezekani mpira ana possess yeye, foward wakabia juu yaani wakipoteza mpira strikers wanaukimbiza utadhani wao ni watu wa mwisho
Left &right flank Reheem&Lorey Sane wote wana kasi centre Kelvin Debrune yeye namuita Messi wa EPL anapiga interceptions na akiwa na mpira hapotezi ,aisee Team imekamilika
De Bruyne anapiga interception??? How?
 
De Bruyne anapiga interception??? How?

Ameshindwa kuelewesha vizuri ila maana yake ilikuwa hii hapa chini : Attacking midfielder. ametumia neno interception ndivyo sivyo ila alikuwa na maana ya attacking midfielder.

Kelvin De Bruyne plays mainly as an attacking midfielder but can also play as a winger or second striker. He is often described as one of the best modern day advanced playmakers due to his technique, wide range of passing, and long-range shooting skills. His playing style has frequently led to the media, coaches, and colleagues ranking him among the best players in Europe.

debruyne.png
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom