BARCELONA FC kwa kweli ingawa hawachezi soka lile la kipindi cha Guardiola, ila wako vizuri. Ndio mpinzani mkubwa wa Mancity, ndio timu bora kwa sasa Barceloma.Kwangu mimi Baada ya BARCELONA MAN CITY
Wanasema pia Harry Kane ni the best striker in the world now.Bbc=English media
Kwa Barcelona na Buyern hawa Mancity hawatoki.Absolutely
hao wakubwa sana, hata kwa atletico madrid huyu man city hatoki.Kwa Barcelona na Buyern hawa Mancity hawatoki.
pia bayern na barcelona ndio wanaochuana man city na harry kane ni kwa uingereza tu.Kwa Barcelona na Buyern hawa Mancity hawatoki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]yah, madrid huwa kama fisi kaona mifupa waonapo lile kombe na ipigwapo ile nyimbo ya uefa