Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona liver anafungwa na swansea halafu anamfunga man citySasa Kama Real inachemka Sapain Kwa Sababu Kuna Mpira! Je Ilichemka Kwa Spurs Kwa Sababu EPL Kuna Nini?
Hebu Tupe Matokeo Ya REAL MADRID vs SPURS ya Mechi Zote Mbili za Champion League!
Utakaponipa Matokeo Zingatia Jambo hili!
1) Spurs inashika Nafasi Ya Tano Kwenye EPL.
umesahau machine liverpool sio???? subirini tutawapa kichapo tenaHta mimi nakubaliaba na wewe na kikwazo pekee cha man city kukosa ubingwa wa uefa msimu huu ni barca na r madrid tu!
Naona kijana wa Ligi bora yenye ushindani(Bundesliga) unatamba..!Naona vijana wa EPL wanapeana moyo
Washabiki Wa Barcelona na Real Madrid Mimi Huwa Nina Wajua Ni Watu Wasiokubali Ukweli wala Kuconfess ukweli Wa Kile Kinachoendelea!
Hata Media Nyingi Duniani Zimekuwa [HASHTAG]#Blinded[/HASHTAG] na Timu hizi na Ndiyomana Subiri December utakuja Kuoba Iniesta , Modric, Bale, Ronaldo , Benzema, Casemiro Wamo Katika Kikosi Bora Cha FIFA cha Mwaka 2018 wakiachwa Kina De Bruyne, Harry Kane, Mbape, Mo Salah, Aguero, Matic , De Gea na Hazard.
Mbona liver anafungwa na swansea halafu anamfunga man city
Naona vijana wa EPL wanapeana moyo
Eeh mpaka Matic awepo kwenye kikosi cha UEFA [emoji23][emoji23]
Ndo hivyo subir uone kama hatanyanyua kwapa Europa cupAhahaaaah...
Eti walipanga..!
Bila shaka asiponyanyua atakua amepanga pia..!Ndo hivyo subir uone kama hatanyanyua kwapa Europa cup