Man City ndiyo team bora kwa sasa duniani

Man City ndiyo team bora kwa sasa duniani

Sasa Kama Real inachemka Sapain Kwa Sababu Kuna Mpira! Je Ilichemka Kwa Spurs Kwa Sababu EPL Kuna Nini?

Hebu Tupe Matokeo Ya REAL MADRID vs SPURS ya Mechi Zote Mbili za Champion League!

Utakaponipa Matokeo Zingatia Jambo hili!
1) Spurs inashika Nafasi Ya Tano Kwenye EPL.
Mbona liver anafungwa na swansea halafu anamfunga man city
 
BBC ni UK media lazima waipe promo team ya UK kama kawaida yao na ligi yao ya matangazo.
 
Washabiki Wa Barcelona na Real Madrid Mimi Huwa Nina Wajua Ni Watu Wasiokubali Ukweli wala Kuconfess ukweli Wa Kile Kinachoendelea!

Hata Media Nyingi Duniani Zimekuwa [HASHTAG]#Blinded[/HASHTAG] na Timu hizi na Ndiyomana Subiri December utakuja Kuoba Iniesta , Modric, Bale, Ronaldo , Benzema, Casemiro Wamo Katika Kikosi Bora Cha FIFA cha Mwaka 2018 wakiachwa Kina De Bruyne, Harry Kane, Mbape, Mo Salah, Aguero, Matic , De Gea na Hazard.

Eeh mpaka Matic awepo kwenye kikosi cha UEFA [emoji23][emoji23]
 
Naona vijana wa EPL wanapeana moyo


Tengua Tuliyoyazungumza Kwa Hoja na Sio Kujifariji Kwa Mambo Ya Kusadikika!

By the way! Kumbe Ndiyo Nyinyi Munaoziangalia Ligi Zinazochezwa na Farmers pamoja Na Coolies Kama Vile Ujerumani na Ufaransa Mukazifanya Ni Ligi bora.
 
Eeh mpaka Matic awepo kwenye kikosi cha UEFA [emoji23][emoji23]


Soma Mantiki Ya Nilichokiandika sio uinterprets mambo literally!
Angalau ungelisema nikusaidie Kwa nilichokimaanisha!!!
Yani Huezi Kumueka Casemiro ukamuacha Matic...
Huwezi Kumueka Bale ukamuacha Mo Salah.
Huwezi Kumueka Benzema Ukamuacha Harry Kane au Aguero.
Huwezi Mchukua Ter Stegen Ukamuacha De Gea.
Huwezi Kumchukua Iniesta na Modric Kwa viwango vyao Kwa Sasa Ukamuacha KD. Bruyne.

Kwahiyo Simaanishi Kuwa Matic Ni Lazima Awemo..
Najua Kuwa Kwa Sasa Ni S. Buaquets.
 
Akili za BBC changanya na zako mkuu, Time "ll justify
 
Back
Top Bottom