PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Kwa mujibu wa BBC sport news Man city ndiyo team ambayo kwa sasa inacheza soka bora zaidi katika ligi zote bora nne dunia, yaan spain,German,Italy na England yenyewe. wameangalia namna team inavyomiliki mpira, namna Gardiola alivyo boresha viwango vya wachezaji wake, matokeo ambayo team inapata na ukubwa wa kikosi .
ikumbukwe hii kwa mjibu wa siku za karibuni,
mimi nakubaliana na hili , sijui wewe?
ikumbukwe hii kwa mjibu wa siku za karibuni,
mimi nakubaliana na hili , sijui wewe?