joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Poleni sana majirani, karibuni Tanzania muweze kuishi maisha yaliyojaa Utu, Upendo, uungwana na mshikamoni. Inaoneka hilo kampuni limeanzishwa kwa ajili ya kabila maalumu, hawa sio kutoka kabila husika, wameingia choo cha Kike.