Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha!....ni mwanaume mwenzangu aliyenizidi umri yaani ni kama mshauri wangu a.k.a baba mdogo. Tulikuwa wote chuoni japo yeye hakufanikiwa kumalizia masomo pale chuo hivyo akaenda nje kumalizia ndpo tukawa tumetenganahuyo mtu ni mwanamke ama mwanaume?
Wajanja wameshamtumia na kupiga pesa ya kufa mtu, sasa wamemtosa. Kama alikuwa hajajiandaa ndio kwishney!!Mpuuzi sana huyu kwani kiki zote zile hamiliki gari lake mwenyewe?