Man Fongo anyang'anywa gari na aliyekuwa meneja wake

Man Fongo anyang'anywa gari na aliyekuwa meneja wake

usela mavi hauendani na issues ambazo zinamuhitaji muhusika kuwa serious ktk maisha.

ukute tatizo lilianzia hapo kwenye usela.
 
huyo mtu ni mwanamke ama mwanaume?
Hahahaha!....ni mwanaume mwenzangu aliyenizidi umri yaani ni kama mshauri wangu a.k.a baba mdogo. Tulikuwa wote chuoni japo yeye hakufanikiwa kumalizia masomo pale chuo hivyo akaenda nje kumalizia ndpo tukawa tumetengana
 
Back
Top Bottom