Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
unamaanisha nini?Nganga imetaiti kamba
Hapana mkuu ni moja Kati ya mistari ya wimbo wake huounamaanisha nini?
sidhani kama hao wanoitwa BASATA waliona video yake!Yaani katumia umahiri wake kuwaelewesha hao BASATA mpaka wamemuelewa na kuupitisha huo wimbo! kaimba kimafumbo?
Fulani kapita
Nani nani kapita
Haya mafumbo sijayaelewa.
Mkuu hiyo ndio Sifa kuu ya mziki wao....unaenda studio ukiwa na Kiitikio maneno menfine ya verse yanakuja hapo hapo tu unaropoka kila neno linalokuja mdomoniIla hiyo nyimbo,chorus na verse hata haviendani.
Ndio hapo najiuliza kuwa aliwaelewesha wakamuelewa sipati pichasidhani kama hao wanoitwa BASATA waliona video yake!