Man Fongo: BASATA walitaka kufungia hainaga ushemeji nikawatuliza

Man Fongo: BASATA walitaka kufungia hainaga ushemeji nikawatuliza

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii Man Fongo amedai BASATA walitaka kufungia waimbo wake wa hainaga ushemeji lakini akawatuliza na kuwaambia hayo ni mambo ambayo yapo labda wenyewe wanaishi nyakati zilizopita ial kwa sasa mambo hayo yanatokea sana na wakamsifu kuwa alitumia mafumbo
 
Tunasubir huenda nae akaja kuufikisha mziki wetu kimataifa
 
Ila hiyo nyimbo,chorus na verse hata haviendani.
 
Huu wimbo angewashirikisha P Square au Ne Yo ungepigwa hata Marekani.
 
Hilo pini ukitaka kuona raha yake urud nyumban alaf umkute rafiki yako analiimba akiwa na mkeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji51]
 
Yaani katumia umahiri wake kuwaelewesha hao BASATA mpaka wamemuelewa na kuupitisha huo wimbo! kaimba kimafumbo?
Fulani kapita
Nani nani kapita
Haya mafumbo sijayaelewa.
 
Hao BASATA ni ..... tu!!! Huo wimbo ulipaswa kufungiwa hauna mafumbo wala maadili..... full stop!!!
 
Back
Top Bottom