muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Hii kitu hata mimi inanishangaza aisee,au wametibuana na jamaa..Mbona baba wa Kisingeli Msaga Sumu amesusiwa sikuhizi anapewa shavu huyu bwa mdogo?
Wasukuma kila kitu kwao ni kigeni sio fongo tu hata alivyopanda star boy wao waliendelea kushangaa tu kama hawajui wamefata nini paleJuzi huko Usukumani Mwanza walikuwa wanamshangaa tu...Labda ukiki huko Dar kwenu,Morogoro,Tanga,Lindi na Mtwara....Ila Chugga,Mwanza na Sehemu zingine Asahau
Kumbe na wewe umegundua kuwa huo 'muziki' ni makelele eh?
Nilidhani labda ni mimi tu!
Sidhani kabisa kama [huo muziki] utadumu kwenye medani za burudani.
Muda si mrefu watu watauchoka tu.
Mm pia nlifkiria nko m wenyewe. Huu mziki sio kitu kabisa. Mafujo fujo
Juzi huko Usukumani Mwanza walikuwa wanamshangaa tu...Labda ukiki huko Dar kwenu,Morogoro,Tanga,Lindi na Mtwara....Ila Chugga,Mwanza na Sehemu zingine Asahau
Hata bongoflavorWasanii wengi wa muziki wa Singeli ni watumiaji wazuri wa bidhaa bora toka Jamaica na Pakistani.
Matako ulia mbwataHizo kelele zichukue nafasi ya bongo fleva,maskini akipata bwana
Ndiyo sengeli hiyo mana imetoka kwenye neno senge .....ila wamemalizia li ndiyo maana inaitwa sengeli......Wanachoniboa zaidi ni watoto wa kiume kujibinua na kukatikiana
Uwiiiii mbavu zangu wakabaki wanashangaa nini kimewapeleka ccm kirumbaWasukuma kila kitu kwao ni kigeni sio fongo tu hata alivyopanda star boy wao waliendelea kushangaa tu kama hawajui wamefata nini pale
Hahahaahah hizo nyimbo nishashindwa nianzie wapi kuchezaKuimba si kuimba...ni makelelekelele tu.
Cheza yenyewe ni kurukaruka tu kama kuku.
Hovyo kabisa!
Hahahaahah hizo nyimbo nishashindwa nianzie wapi kucheza