Man Fongo: Singeli tunachukua soko la muziki sasa, wasanii wa bongo fleva watafute kazi nyingine

Man Fongo: Singeli tunachukua soko la muziki sasa, wasanii wa bongo fleva watafute kazi nyingine

Kumbe na wewe umegundua kuwa huo 'muziki' ni makelele eh?

Nilidhani labda ni mimi tu!

Sidhani kabisa kama [huo muziki] utadumu kwenye medani za burudani.

Muda si mrefu watu watauchoka tu.

Mm pia nlifkiria nko m wenyewe. Huu mziki sio kitu kabisa. Mafujo fujo
 
Wana fujo hawa na nyimbo zao,yaan aje ya ally kiba ulinganishe na hakunaga ushemeji
 
Juzi huko Usukumani Mwanza walikuwa wanamshangaa tu...Labda ukiki huko Dar kwenu,Morogoro,Tanga,Lindi na Mtwara....Ila Chugga,Mwanza na Sehemu zingine Asahau

Huko usukumani ujanja unachelewa kufika so usishangae sana..baada ya miaka mitano ndio watakuja kupagawa na huo mziki..tuwape muda tu wasukuma kwani huwa wanachelewa sana kwenda na wakati
 
Wanachoniboa zaidi ni watoto wa kiume kujibinua na kukatikiana
Ndiyo sengeli hiyo mana imetoka kwenye neno senge .....ila wamemalizia li ndiyo maana inaitwa sengeli......
 
Pole pole haunaa. .pole mama haunaa. .pole baba haunaa. .singeli ndo habar ya dsm [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume wa dar slam wanavituko jamani khaaaa
 
I envy Man Fongo....Huwa napenda sana watu wengi kuniambia "U cant" au "U r wrong"...Then eventually I prove them wrong....Time will tell......Huu mziki mwanzo nilikuwa naona kelele tu na kushangaa wanaoupenda....But now dude likipigwa kwenye subwoofer ya maana kudadeki ni vigumu kutulizana kwenye kiti
 
STRESS KUKUTA MISSED CALL YA MANFONGO KWENYE SIMU YA MKEO
 
mziki ambao unatukuzwa kwa kutafuta umarufu kwa redio mbilo clouds na efm zaidi ya hapo sioni kuwa mziki utakao hupa mtazamo tofauti bongo flaver
 
huu ni mziki wa kusikiliza kwenye spika za fekon na sanlg tu huko kisarawe, kiziko, kipalanganda, kisele, kimanzichana, bungu ,jaribu, mkamba na rufiji
 
Back
Top Bottom