Man Fongo: Singeli tunachukua soko la muziki sasa, wasanii wa bongo fleva watafute kazi nyingine

mziki ambao unatukuzwa kwa kutafuta umarufu kwa redio mbilo clouds na efm zaidi ya hapo sioni kuwa mziki utakao hupa mtazamo tofauti bongo flaver
Singeli imeipa umaarufu efm hao clouds wameufyata
 
Hauchezeki!

Ni makelele tu.

Ukitaka kucheza labda ujitoe fahamu halafu uanze kupayuka payuka 'haina ushemeji tunakula...hainaga ushemeji tunakulaga'.

Muziki gani sasa huo?

Hautadumu nakwambia!
Kwani we nani na una mchango gani mpaka useme hautadumu.... ACHA CHUKI
 
Waimbe vitu vya maana..
Hakunaga ushemeji ni nyimbo mbaya ina ujumbe mbaya sijui kwa nini haijafunhiwa na tcra..
 
Wana fujo hawa na nyimbo zao,yaan aje ya ally kiba ulinganishe na hakunaga ushemeji
Gea umependwa leo na busu juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tuko pamoja mkuu
 
Juzi huko Usukumani Mwanza walikuwa wanamshangaa tu...Labda ukiki huko Dar kwenu,Morogoro,Tanga,Lindi na Mtwara....Ila Chugga,Mwanza na Sehemu zingine Asahau
Akija huku Arusha lazma tumshushe jukwaani na chupa za nyagi!
 
Kuimba si kuimba...ni makelelekelele tu.

Cheza yenyewe ni kurukaruka tu kama kuku.

Hovyo kabisa!
Mshamba hawezi kuelewa..!
Mjinga hapewi USHAURI..!
Maneno ya Mwamba Geu hayo sio mimi...
Ambao hamuuelewi huu muziki ni wale mlioanza kuusikia ukipigwa EFM au Clouds Fm..!

MWISHO: Huu mziki hauwezi KUFA...
Labda Kinondoni na Temeke TUFE wote..!
Huku kwetu kuna watu hawamwelewi ALI KIBA wala DIAMOND lakini hauwaambii kitu kuhusu DOGO NIGGA SIMELA au Shollo Mwamba..!


mziki ambao unatukuzwa kwa kutafuta umarufu kwa redio mbilo clouds na efm zaidi ya hapo sioni kuwa mziki utakao hupa mtazamo tofauti bongo flaver
Wana fujo hawa na nyimbo zao,yaan aje ya ally kiba ulinganishe na hakunaga ushemeji
Mm pia nlifkiria nko m wenyewe. Huu mziki sio kitu kabisa. Mafujo fujo
 
Aaah wapi. Hizo nyimbo zitapigwa uswazi huko huko ndo zitakua maarufu. Mtu huwez kaa kny karioke unaimba eti hainaga ushemeji 2nakulaga. Miziki hiyo imelenga uswazi na majority ni wa2 wenye vipato vya chini. Michiriku ilkuwepo zamani lkn hukuti kny sherehe inayofanyika ukumbini wameeka mchiriku utakuta kny midundiko ndo wameeka michiriku. Na haifiki kokote hyo style ya mziki.
 
Naona unarudia kilekile nilichokiandika...
Singeli ni Aina ya muziki ambao hauko kwa Ajili ya WATANZANIA wote mwanamama..!

Pia ni makosa makubwa sana kuifananisha SINGELI na Bongo Fleva..!
Kama unavyosema...
Huu muziki upo kwaajili yetu SISI wa USWAZI na wenye VIPATO vya CHINI..!
wewe MBOGA SABA hauwezi kuelewa...
Sanasana utaona ni MAKELELE tu kwako..!
 
Ndio
Ndio cjabisja. Kwahyo hakuna la kusema eti huo mziki utafunika bongo flavor mpk watafute kazi za kufanya
 
Ndio

Ndio cjabisja. Kwahyo hakuna la kusema eti huo mziki utafunika bongo flavor mpk watafute kazi za kufanya
Ni KWELI..!
Kuhusu HILO huyu Man Fongo ANAJIDANGANYA..!
SINGELI itabaki kuwa SINGELI na BONGO FLEVA itabaki kuwa BONGO FLEVA..!
 
Loyal fans wa huu muziki wanapatikana USWAZI...
Kwahiyo huu MUZIKI ulikuwepo,upo na utaendelea kuwepo..!
 
Hivi huyu jamaa mbali na hio single yake, je kuna sengeli ingine inayohiti sana?
 
ukimwona tembo juu ya mti huwezi jua kafikaje huko ila una uhakika atadondoka tu....huyu jamaa anatakiwa kuweka bidii katika mziki wa singeli kwanza akishatoboa ndio aseme haya sasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…