ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Kitendo cha wasanii wa bongoflava kuwapa shavu kwenye nyimbo zao ni ubunifu toshaWakikosa ubunifu huo mziki unapotea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitendo cha wasanii wa bongoflava kuwapa shavu kwenye nyimbo zao ni ubunifu toshaWakikosa ubunifu huo mziki unapotea.
Singeli imeipa umaarufu efm hao clouds wameufyatamziki ambao unatukuzwa kwa kutafuta umarufu kwa redio mbilo clouds na efm zaidi ya hapo sioni kuwa mziki utakao hupa mtazamo tofauti bongo flaver
Kwani we nani na una mchango gani mpaka useme hautadumu.... ACHA CHUKIHauchezeki!
Ni makelele tu.
Ukitaka kucheza labda ujitoe fahamu halafu uanze kupayuka payuka 'haina ushemeji tunakula...hainaga ushemeji tunakulaga'.
Muziki gani sasa huo?
Hautadumu nakwambia!
![]()
Msanii wa muziki wa kisingeli, Amani Khamisi ‘Man Fongo’ amewataka wasanii wa muziki wa bongofleva kupokea ushindani mpya kutoka katika muziki wa kisingeli.
Muimbaji huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Hainaga Ushemeji’ amesema muziki wa kisingeli una nafasi ya kufanya vizuri zaidi kwa kuwa ni muziki wa uswahilini.
“Muziki tunaouimba ni wa mtaani ambapo ndiko chimbuko na watu wa uswahilini, kwa sasa huwaambii kitu kuhusu muziki wetu. Nawaambia ukweli kabisa wasanii wa Bongo Fleva, wakaze buti twende sawa au watafute kitu kingine cha kufanya,” Man Fongo aliliambia gazeti la Mtanzania.
“Ujue wao wanaimba vitu vya kubuni wakati sisi tunaimba maisha halisi hasa ya uswahilini kwa masikini wenzetu,”
Awali watu waliuita muziki wa kihuni kutokana na vijana kufanya matukio mbalimbali ulipokuwa unapigwa kwenye shughuli za mitaani nyakati za usiku maarufu vigodoro.
Pia muimbaji huyo kwa mara ya kwanza amepata shavu la kupanda kwenye jukwaa la Fiesta Mwanza.
We mwenyewe nani hadi unihoji mimi?Kwani we nani na una mchango gani mpaka useme hautadumu.... ACHA CHUKI
Gea umependwa leo na busu juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wana fujo hawa na nyimbo zao,yaan aje ya ally kiba ulinganishe na hakunaga ushemeji
Tuko pamoja mkuukweli kabisa mkuu, hao wengine wanaoiponda singeli hawaijui singeli yenyew na hata fongo mwenyew wamemjua baada ya kutoa hainaga ushemeji sisi tunaemjua fongo tangia enzi hizo za twista, disco dancer, chupi la mnato na vijimambo na nani bado sijamtaja tumekaa kimya tu
Akija huku Arusha lazma tumshushe jukwaani na chupa za nyagi!Juzi huko Usukumani Mwanza walikuwa wanamshangaa tu...Labda ukiki huko Dar kwenu,Morogoro,Tanga,Lindi na Mtwara....Ila Chugga,Mwanza na Sehemu zingine Asahau
Mshamba hawezi kuelewa..!Kuimba si kuimba...ni makelelekelele tu.
Cheza yenyewe ni kurukaruka tu kama kuku.
Hovyo kabisa!
mziki ambao unatukuzwa kwa kutafuta umarufu kwa redio mbilo clouds na efm zaidi ya hapo sioni kuwa mziki utakao hupa mtazamo tofauti bongo flaver
Wana fujo hawa na nyimbo zao,yaan aje ya ally kiba ulinganishe na hakunaga ushemeji
Mm pia nlifkiria nko m wenyewe. Huu mziki sio kitu kabisa. Mafujo fujo
Aaah wapi. Hizo nyimbo zitapigwa uswazi huko huko ndo zitakua maarufu. Mtu huwez kaa kny karioke unaimba eti hainaga ushemeji 2nakulaga. Miziki hiyo imelenga uswazi na majority ni wa2 wenye vipato vya chini. Michiriku ilkuwepo zamani lkn hukuti kny sherehe inayofanyika ukumbini wameeka mchiriku utakuta kny midundiko ndo wameeka michiriku. Na haifiki kokote hyo style ya mziki.Mshamba hawezi kuelewa..!
Mjinga hapewi USHAURI..!
Maneno ya Mwamba Geu hayo sio mimi...
Ambao hamuuelewi huu muziki ni wale mlioanza kuusikia ukipigwa EFM au Clouds Fm..!
MWISHO: Huu mziki hauwezi KUFA...
Labda Kinondoni na Temeke TUFE wote..!
Huku kwetu kuna watu hawamwelewi ALI KIBA wala DIAMOND lakini hauwaambii kitu kuhusu DOGO NIGGA SIMELA au Shollo Mwamba..!
Kama unavyosema...Aaah wapi. Hizo nyimbo zitapigwa uswazi huko huko ndo zitakua maarufu. Mtu huwez kaa kny karioke unaimba eti hainaga ushemeji 2nakulaga. Miziki hiyo imelenga uswazi na majority ni wa2 wenye vipato vya chini. Michiriku ilkuwepo zamani lkn hukuti kny sherehe inayofanyika ukumbini wameeka mchiriku utakuta kny midundiko ndo wameeka michiriku. Na haifiki kokote hyo style ya mziki.
Ndio cjabisja. Kwahyo hakuna la kusema eti huo mziki utafunika bongo flavor mpk watafute kazi za kufanyaNaona unarudia kilekile nilichokiandika...
Singeli ni Aina ya muziki ambao hauko kwa Ajili ya WATANZANIA wote mwanamama..!
Pia ni makosa makubwa sana kuifananisha SINGELI na Bongo Fleva..!
Kama unavyosema...
Huu muziki upo kwaajili yetu SISI wa USWAZI na wenye VIPATO vya CHINI..!
wewe MBOGA SABA hauwezi kuelewa...
Sanasana utaona ni MAKELELE tu kwako..!
Ni KWELI..!Ndio
Ndio cjabisja. Kwahyo hakuna la kusema eti huo mziki utafunika bongo flavor mpk watafute kazi za kufanya
KabisaSingeli bado ni mziki ulio kwenye majaribio.. Muda wowote unaweza potea inategemea na upepo wa soko utaendaje.
Hivi huyu jamaa mbali na hio single yake, je kuna sengeli ingine inayohiti sana?Hapa umeongea. Huo mziki ni wa kieneo na umepata coverage sababu media zipo hapo.
Wasanii wa singeli wapo manzese hapo huko mbagala kwa mfuga mbwa na uswahilini dar tu ni ngumu kupata wajuzi wa huu mziki mikoani kutokana na style yake sasa kuipiku bongoflava ambayo mtu yeyote anaweza kuimba ni ngumu.
Iliyohit ya msanii mwengine au huyohuyo Man Fongo..!?Hivi huyu jamaa mbali na hio single yake, je kuna sengeli ingine inayohiti sana?
Ok mkuuIliyohit ya msanii mwengine au huyohuyo Man Fongo..!?