Man, go for the Legs! .. Achana na sura

Man, go for the Legs! .. Achana na sura

Kama anaweza kutunza miguu.. huyo anaweza kutunza kila kitu..hata familia.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Edit: sio awe na miguu mizuri sanaa ila awe na miguu misafi.. akipita na kiatu hakichafuki..

Sio abandike ile mikucha kama jini.. kucha yenye afya na safi huwa inakuwa even sexier ikiwekwa clear coat tu.. kwa ustadi wake mwenyewe...

Independent women sio wanaoweza kulipa bill tu.. ila wanayomudu routine ya urembo wao wenyewe sio mpaka ukakae vijana wasio na adabu wakushike shule hovyo
 
Back
Top Bottom