Man, go for the Legs! .. Achana na sura

Man, go for the Legs! .. Achana na sura

Kwenye chura tena mmeshahama [emoji2296]
Ukiona hivyo chura ni "pi" kwahiyo kuiongelea ni kupoteza muda na kuitumia akili vibaya, hapa tuna gusia na mengineyo.


Ila mtoa mada nampinga kwenye kikuku,na pale kwenye kifutio sijui kifuto sijamuelewa kabisa. Tunazeeka sasa.
 
Aisee huu uzi una ubia na mimi kwa maana na mimi ni mdau wa miguu mizuri laini.Mleta mada embu kamata hiyo kwanza wakati mjadala unaendelea.
IMG_20181123_222702.jpg
 
Mimi huwa nafuata nyumanyuma kutazama miguu mizuri tunaweza kutoka na wewe kuanzia ubungo mpaka kariakoo niko tu nyuma tu nakula chabo la miguu
 
sijawahi kuona mzungu mwenye miguu mibaya hapa kwetu wahaya wako vizuri
 
Miguu kwangu mimi ndio tafsiri halisi ya utamu uliomo kwenye body husika..
 
Hawa ndo wanaume sasa. Wenye vyura vyenu ndo mmeshaachwa ni zamu yetu sasa😂😂😂

Wanaume mbingu mtaiona kweli?
😂😂😂😂😂

Wenye miguu yenu mizuri lazima mna mbususu nzuri sana tu. Kongole kwenu. Mjimwambafai.
 
Kuna mguu umesahaulika,

Mguu wa ngamia CAMEL TOE
 
Dada zangu msiangaike sana maana kesho tutakuja kusema mwanamke ni lips
 
Back
Top Bottom