Man kills his girlfriend because she refused to marry him after sponsoring her University studies

Inasukitisha...

Pole wewe kaka
 
Uko sahih kwa kias lakn akili peke yake pasipo moyo hakuna...maana moyo huanza kuwaza...Why...then comes How ..... Lkn tatzo pia wengi wanaofanya hvyo huwa hawashirikishi watu wao wa karibu kwa ushauri zaid...
 
Tenda wema nenda zako, unapomtendea mtu wema alafu utegemee wema kutoka kwake in return utaishia tu kupata disappointment.
Tatizo ni kwamba huenda toka mwanzo walikua kwenye uhusiano..na mume kwa busara akaamua kumpiga tafu mama akijua kuwa ni wake mtarajiwa sio mbaya..lkn mwanamke kapata cjui msomi mwenzake ama tajiri mwenzake...akamsaliti mwenzake
 
Tatizo ni kwamba huenda toka mwanzo walikua kwenye uhusiano..na mume kwa busara akaamua kumpiga tafu mama akijua kuwa ni wake mtarajiwa sio mbaya..lkn mwanamke kapata cjui msomi mwenzake ama tajiri mwenzake...akamsaliti mwenzake
Ndio hivyo binadamu tulivyo.
 
Nilizani kamkata mishikaki nimwongezee na kachumbari
 
Inasikitisha sana...

It takes more than just guts to invest on a woman for a very long period of time...

Anytime they change their minds...


Cc: mahondaw
 
Ndugu yangu wanawake waajabu sana ndugu yangu tumetoka mkoa moja alimsapoti sana demu wake chuoni hadi akapambana na kuhonga apate kazi ili waje wayaishi chaajabu kufika ofisi ile ya uma mwanamke anatoka na Afisa mwajiri tena mtu mzima...nakumkebehi jamaa kwa bahasha imewekwa 50k na barua yakumshukuru kwa msaada na eti moyo huo huo jamaa aonyeshe kwa wengine jamaa ni askari alikunywa vidonge afe lakini aliponea hospital ila demu alivyoachwa huku askari yule mambo yalimnyookea kajenga ,gari ya kutembelea na moja ya biashara demu akaanza kusumbua warudiane na kupitia kwa shangazi mtu amuombee radhi....hapo ndo ujue akili ya mademu wanaijua wao heri uwe nae usimjali kwa lolote kuliko kuja kuumia
 
Wanakimbiwa walooa kabisa na wana watoto sembuse ulomzalisha!! Kumzalisha sio guarantee pia my kaka. Ukitaka usikimbiwe basi PENDWA.
Sasa akimbie wakati watoto ninao tayari....aende tu..yaani hapo hakuna tatizo..nalea watoto..na mzigo na kula nje kama kawaida...
 
hata mimi naua,

japo siwezi kufika huko kwa sababu mchumba hasomeshwi.. mwanamke ukitaka umsomeshe mzalishe kwanza ,, manake akikukimbia wanao watafaidi. ila mchumba hasomeshwi. pumbavu
Hizi zipo kibao na sijuhi kwa nini watu hawajifunzi,kuna mwl mmoja alimsonesha binti chuo cha ualimu alipomaliza akamzalisha lakini huyo binti alipopata ajira akakutana askar akaoa kabisa na mtoto akapelekwa kwa bibi yake. Jamaa aliumia mpaka sasa akili hazipo sawa. Kibaya zaidi hapakuwepo changamoto ya umbali maana wilaya aliyopangiwa huyo binti nauli ni elfu kumi tu kwenda kwa mme wake lakini hata uamisho ilikuwa ni rahisi sana maana ni mkoa mmoja.
 
Yaani tena hao nilihadithiwa juzi kati Tanga hapo jamaa alikuwa anamhudumia hadi mama mkwe demu kamgeuka nasikia jamaa kwenda kwa sangoma kila mwanaume anayekutana nae pa...puchi haioni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi demu alitaka kujinyonga ila mm mjeda mmoja white nauli yangu alirudisha weee nilikomaa nae baada ya kutuma akaomba tena Akaja kwa nauli yake tukamaliza. .
 
unajuwa hapa JF wakati mwengine unaweza kukuta mtu anatoa ushauri ukadhani labda anatania ama labda alipiga kwanza maji ya dhahabu kabla ya kutoa ushauri. Lakini watu hapa wanaongea kutokana na experience. Makuhani na wahenga wa JF huwa wanasisitiza sana huu msemo. HAWARA HASOMESHWI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…