Man kills his girlfriend because she refused to marry him after sponsoring her University studies

Kamaa alivochukuaa Uamuzii mgumu wa kumsomeshaa bhasi hata huo Uamuzi alochukua ni mgumu na mzuri vile vile... Kijana Fanya makosa yote duniani ilaa

USIMUAMINI MWANAMKEE... Maana huwa hawana msimamo kabisaa...

USIMFANYIE MAMBO MAKUBWA ILA MWANAMKE AKUPENDE....vifoo vinatokea sababu yaa hili jambo... unajua huna uwezo wakumfanyia jambo flani unajitesaa umfanyie mwisho wa siku akizingua ndo unafikia atua ya Kuua...!!
 
aiseeeee kuna yule askari mwingine toka Kenya alikimbiwa namkewe
mkewe alichukuliwa na washikaji wawili wakawa wanaishi nae pamoja Mara huko.. YAANI WOTE WANAMLA PAPUCHI
ASKARI AKAFUATILIA MPAKA KUJUA MKEWE ALIPO mwisho wa hatma akaamua kumfuta
kafika mpka katk nyumba ambayo mkewe anaishi kwabahati mbaya akakautana na wale jamaa wacha yule askari achezeshewe kichapo akakatwa na mkono..

daaahh inauma sana aiseeee huwa najiuliza mpka Leo yule askari aliitoa wapi nguvu yakumfuata Ama kumtafuta tena mwanamke mwenye tabia zile yaani mtu anakukimbia kisha aanaenda kuishi na mabwana wawili sehemu moja nawote wnamla kwa wakati mmoja ..then bado tu unapambana kumrejesha katka maisha
yako kwahicho alichofnyiwa niubaya uliopitiliza mno na mwnamke wa aina ile hata angemrejesha kwake bila shaka IPO siku angetembea hata na baba yake mzazi
 
Eehh asee afu inaonyesha ni kenyans hawa!
wanawake wasaliti sana aseee pia wabinafsi kupitiliza.
Wa kwetu hawa ndio waswahili, wahuni na washenzi. Wanapohitaji huduma, hujiona waaminifu lakini akishatimiza malengo yao dharau kwa saana tu.
 
Yaani navyoona hvi na January natakiwa ntoe kama 1.2 ndo hapo najiuliza sjui niache .
Usiache...ila akili yako iwe tayari kW lolote yaan chukulia kama unatoa msaada...don't expect love n return
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…