Man of the match: Papy Kabamba Tshishimbi

Wanalishana ujinga mwingi wa matopeni. Jana nimemsikia Kibaden akisema Kuna mtu wa Simba atapita hat trick leo. Uzee unamjia vibaya sana.
Naye mapengo Kibonde alijaa kejeli nyingi kwenye kipindi cha Jahazi.
Upuuzi huu, huwafanya mbumbumbu kwenda na matokeo uwanjani
 
Papy Kabamba Tshishimbi au Aishi Manula, mmoja wao ndio man of the match. Nashangaa hawa Pimbi kumtangaza Kichuya!


Afu hawa Azam Sports ni pimbi sn ktk kuonesha Highlights za Yanga.

Sijui yana Wivu na Manji!

Simba shukuruni Aishi Manula.
N wajbu wake aiseee huyo Manula
 
Unaijua namba na position anayocheza Papý?
Yap anacheza namba 6 na leo pia alucheza iyoiyo ila baada ya kuingia Pato ilibid Papy acheze namb 8 ambapo alkuwa huru zaid....na Cmba wakaliona ilo akaingizwa Mkude ili kumkabil na alifanikiwa kwa kiac kikubwa
 
Ila yang tunachangamoto ya kipa Manula yuko poa sana ni mwepesi na anajua kupunguza goli ila wetu ana kauzito flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…