likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
JAMAA KAMA NGOLO KANTE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anaamin sana matunguli,,Serena kitu ganHana chakuongea kawaaminsha mashabiķi kuwa timu imelala serena hotel kuamkia leo
Kamuulze Abdi JumaHivi Okwi aliķuwepo leo?
N wajbu wake aiseee huyo ManulaPapy Kabamba Tshishimbi au Aishi Manula, mmoja wao ndio man of the match. Nashangaa hawa Pimbi kumtangaza Kichuya!
Afu hawa Azam Sports ni pimbi sn ktk kuonesha Highlights za Yanga.
Sijui yana Wivu na Manji!
Simba shukuruni Aishi Manula.
Mbona alivyoingia Mkude hakuonekanaNdo mana Papy kapewa man of the match kwa mashuti...uyo ana bahati alibadilisha groves
Ni kweli ila amefanya kitu exceptional.N wajbu wake aiseee huyo Manula
Unaijua namba na position anayocheza Papý?Mbona alivyoingia Mkude hakuonekana
Mara ya pili kweli jamaa anajuaAtajwa kuwa ni nyota wa mchezo
![]()
![]()
Yap anacheza namba 6 na leo pia alucheza iyoiyo ila baada ya kuingia Pato ilibid Papy acheze namb 8 ambapo alkuwa huru zaid....na Cmba wakaliona ilo akaingizwa Mkude ili kumkabil na alifanikiwa kwa kiac kikubwaUnaijua namba na position anayocheza Papý?
Alikuwepo ila kuna jamaa mmoja manywele okwi alikuwa akitema mate jamaa anafukiaWakijibu nitag
Hilo linajulikana kwenu (Yanga) wengine hatulijui.Papy Kabamba Tshishimbi (PKT)
Hatari sana inajulikana hilo liko wazi
sawa.Hilo linajulikana kwenu (Yanga) wengine hatulijui.
HahahaaaKichuya kapewa na mashabiki upande wa simba, yaani kwenye kikosi cha mbumbumbu fc yeye ndiye man of the match
Mnapenda sana magoli ya kupewa mmeshindwa kucheza na kikosi cha bilion 1.3 mnawaza penati na faulo za kupewa tu na ndo mnapoponeaga humo