Mkuu nimecheka kwa sauti nadhani majirani wameshtuka. Hahaaa Yanga raha sanaFundi Papy Kabamba Tshitshimbi a.k.a Ngolo Kante a.k.a Kiboko ya mikia fc.
Siku ya tatu leo kipa wa mikia fc, Aishi Manula usiku halali analalamika mikono inamuuma na usiku anaweweseka anataja kila mara Tshishimbi Tshishimbi kisa mashuti makali ya Papy Kabamba Tshishimbi.
Alipoingia MKUDE tu katikati akachukua dimba kama kawaida yake.Kabamba kama Sergio Busquet pale Barca huezi sikia akizungumza ila shughuli yake muulize Kotei.
Huyu fundi wa mpira halafu pacha wake hakuwepo Kamusoko
Wanasema Ulipo mpira na Papy yupo
Kaletewa Mkude,Ndemla ila bado mutu ya Kongo kawafunika.
Alipoingia Mkude katikati Simba wakapamiliki na ndio maana official ball possession ya Simba ilikuwa juu ya ile ya Yanga.Unaijua namba na position anayocheza Papý?
Nilifikiri magoli kumbe mashuti, mpira Tanzania bado sana. Yaani unamlenga kipa halafu unasifiwa eti unajua mpira???Fundi Papy Kabamba Tshitshimbi a.k.a Ngolo Kante a.k.a Kiboko ya mikia fc.
Siku ya tatu leo kipa wa mikia fc, Aishi Manula usiku halali analalamika mikono inamuuma na usiku anaweweseka anataja kila mara Tshishimbi Tshishimbi kisa mashuti makali ya Papy Kabamba Tshishimbi.
Na ndio maana mpira ukamalizikia kwa kona na kosakosa nyingi golini kwa Simba nini?Alipoingia Mkude katikati Simba wakapamiliki na ndio maana official ball possession ya Simba ilikuwa juu ya ile ya Yanga.
Nazungumzia stats za ball possession ambazo Simba ni 58% na Yanga ni 42%. Achana na zile long balls toka golini kwa Yanga kwenda Simba ambazo obviously zilikuwa na madhara kwa Simba kwa sababu walikuwa focused kwenda mbele zaidi kuliko kudefend.Na ndio maana mpira ukamalizikia kwa kona na kosakosa nyingi golini kwa Simba nini?
Penati mbili mmeshinda zote...so simba 3-yanga 1 maana manara anataka kukata rufaaYa
YA MTIBWA TULISHANGILIA KWASABABU TULIFANYA MAKOSA MENGI NA HATUKUCHEZA VIZURI KWAHIYO MTIBWA WALICHEZA VIZURI SASA NYIE ETI MNA MAN OF THE MATCH LEO WA JANGWANI HE HE AU KWASABABU MMEZOEA MARA NYINGI KIPINDI CHA PILI HUWA TUNACHEZA SABA SASA LEO MKAONA HUU MZIKI WA KUMI NA MOJA KWA KUMI NA MOJA MTAUWEZA KWELI.PENATI MBILI MMESAMEHEWA!
Naona umepoteza kumbukumbu mkuu. Unazungumzia kuingia kwa Mkude na jinsi alivyomiliki dimba la kati kiasi kwamba umiliki wa mpira (ball possession) kwa Simba ukawa uko juu . Ingawa hata kabla ya kuingia yeye umiliki wa mpira ulizidi ule wa Yanga, nilikuunga mkono. Kwa sababu mpira ulimalizikia golini kwa Simba baada ya kona na mashambulizi kadhaa. Nadhani ni kwa sababu Mkude hakuwapo eneo la golini kwao, alikuwa akiendelea kumiliki dimba la kati ili kuimarisha umiliki wa mpira. Au siyo?Nazungumzia stats za ball possession ambazo Simba ni 58% na Yanga ni 42%. Achana na zile long balls toka golini kwa Yanga kwenda Simba ambazo obviously zilikuwa na madhara kwa Simba kwa sababu walikuwa focused kwenda mbele zaidi kuliko kudefend.
Naona umepoteza kumbukumbu mkuu. Unazungumzia kuingia kwa Mkude na jinsi alivyomiliki dimba la kati kiasi kwamba umiliki wa mpira (ball possession) kwa Simba ukawa uko juu . Ingawa hata kabla ya kuingia yeye umiliki wa mpira ulizidi ule wa Yanga, nilikuunga mkono. Kwa sababu mpira ulimalizikia golini kwa Simba baada ya kona na mashambulizi kadhaa. Nadhani ni kwa sababu Mkude hakuwapo eneo la golini kwao, alikuwa akiendelea kumiliki dimba la kati ili kuimarisha umiliki wa mpira. Au siyo?
Labda nikuzindue tu kwamba kumiliki dimba la kati ni namna tu, siyo mwisho, wa kuhakikisha ushindi. Ni namna ya kuharakisha ushindi kwa anayelimiliki wakati huohuo akichelewesha ushindi kwa adui. Ulichokuwa hukunifahamu ni kwamba si sahihi kusema Mkude amemdhibiti Tshishimbi kwa sababu tu hakuendelea kusumbua viungo wa Simba kama awali lakini kiwango na hatari ya Simba kushambuliwa ikabaki palepale. Hata alipoingia Mkude Simba bado haikusogea sana golini kwa Yanga ilhali Yanga iliendeleza mishitukizo ya mashambulizi ya hatari golini kwa Simba. Inaweza kuwa Tshishimbi hakuonekana sana baada ya Mkude kuingia (ingawa siyo kweli). Lakini imesaidia nini kama kasi ya Mashambulizi ya Yanga haikupungua? Nadhani mnaohisi hivyo mlikuwa mkiangalia zaidi Tshishimbi akiwa na mpira. Lakini mchezaji hodari huangaliwa zaidi asipokuwa na mpira. Wapi anakaa, nini anafanya, anawasaidiaje wenzake wenye mpira bila ya yeye kuucheza, anazibaje njia hatari za timu yake kufungwa, anafunguaje njia za timu yake kufunga, n.k. My take: hata baada ya Mkude kuingia Tshishimbi alin’gara zaidi kwa sababu aliendelea kuifanya timu yake iendelee kushambulia hata kama akiwa hana mpira. Na ndio maana ni Simba ndio walikuwa wanaomba mpira uishe licha ya Mkude kuwemo. Ndio maana mpira kwa dakika kumi za mwisho ulimalizikia kwa kona na kosakosa upande wa Simba. Ulivunjwa wakati Yanga wakijiandaa kurusha mpira kwenye robo ya timu ya Simba.Kwa namna ulivyoandika nimeshindwa kukupata vizuri. Niseme tu kifupi kuwa mara zote dimba la kati anapocheza Mkude huwa anawamudu sana Yanga kuliko ilivyokuwa kwa Kotei.
Hakuna wakati ambapo Tshishimbi amecheza (akang'ara) wakati Mkude akiwa kati katika mechi zote mbili ambazo Yanga amecheza na Simba.
Siku ambapo Dimba litakuwa kati ya Tshishimbi na Mkude halafu Tshishimbi ang'are hapo nitaamini kuwa jamaa ni kifaa. Kwa sasa bado benchmark yangu haijawa tested.
Kucheza mpira kwenye final third bila kupata ushindi kwenye football ni nothing kwa sababu .mpira unaweza kurudi upande mwingine na likawa goli. Stats zinaonesha kuwa Yanga wamepiga mashuti mengi on target kuliko Simba lakini with few shoots Simba wakapata goli.Labda nikuzindue tu kwamba kumiliki dimba la kati ni namna tu, siyo mwisho, wa kuhakikisha ushindi. Ni namna ya kuharakisha ushindi kwa anayelimiliki wakati huohuo akichelewesha ushindi kwa adui. Ulichokuwa hukunifahamu ni kwamba si sahihi kusema Mkude amemdhibiti Tshishimbi kwa sababu tu hakuendelea kusumbua viungo wa Simba kama awali lakini kiwango na hatari ya Simba kushambuliwa ikabaki palepale. Hata alipoingia Mkude Simba bado haikusogea sana golini kwa Yanga ilhali Yanga iliendeleza mishitukizo ya mashambulizi ya hatari golini kwa Simba. Inaweza kuwa Tshishimbi hakuonekana sana baada ya Mkude kuingia (ingawa siyo kweli). Lakini imesaidia nini kama kasi ya Mashambulizi ya Yanga haikupungua? Nadhani mnaohisi hivyo mlikuwa mkiangalia zaidi Tshishimbi akiwa na mpira. Lakini mchezaji hodari huangaliwa zaidi asipokuwa na mpira. Wapi anakaa, nini anafanya, anawasaidiaje wenzake wenye mpira bila ya yeye kuucheza, anazibaje njia hatari za timu yake kufungwa, anafunguaje njia za timu yake kufunga, n.k. My take: hata baada ya Mkude kuingia Tshishimbi alin’gara zaidi kwa sababu aliendelea kuifanya timu yake iendelee kushambulia hata kama akiwa hana mpira. Na ndio maana ni Simba ndio walikuwa wanaomba mpira uishe licha ya Mkude kuwemo. Ndio maana mpira kwa dakika kumi za mwisho ulimalizikia kwa kona na kosakosa upande wa Simba. Ulivunjwa wakati Yanga wakijiandaa kurusha mpira kwenye robo ya timu ya Simba.
Kushambulia ndio njia pekee ya kupata ushindi. Kutumia nafasi vizuri ndio kinachobaki ili goli liingie. Kadri unavyoshambulia ndivyo unavyoelekea kupata goli. Na kadri unavyocheza zaidi kwenye ngwe ya mwisho ya adui ndivyo ushambuliaji unavyokuwa endelevu, hivyo kutengeneza nafasi nyingi za kufunga. Na kadri unavyotengeneza nafasi nyingi za kufunga ndivyo uwezekano wa kufunga unavyoongezeka. Ndio maana hakuna timu inayoruhusu kwa makusudi kuchezewa mpira ndani ya kumi na nane yao. Simba hawakuridhia kuchezewa hivyo, imewakuta tu; pamoja na kuwepo Mkude. Kwamba Simba ilitumia nafasi moja tu kushinda imetokana zaidi na makosa ya kipa kuliko utimilifu wa shambulizi lao. Kwamba Yanga haikutangulia kufunga ilitokana zaidi na uwezo wa kipa wa Simba kuliko ubutu wa mashambulizi yenyewe. Anyway, umenifanya nikufuate kwenye kutoka nje ya mjadala mama wa Mkude na Tshishimbi. Naamini umekubaliana nami, maana hatimaye hukuongea chochote kuhusu hilo.Kucheza mpira kwenye final third bila kupata ushindi kwenye football ni nothing kwa sababu .mpira unaweza kurudi upande mwingine na likawa goli. Stats zinaonesha kuwa Yanga wamepiga mashuti mengi on target kuliko Simba lakini with few shoots Simba wakapata goli.
Kwahiyo kushambulia is one thing na kupata ushindi is completely a different thing.
Kwanza nikupe heads up kwa kulifanya jukwaa hili kuwa lenye uchambuzi zaidi kuliko ushabiki. Nadhani ukiendelea kupitia jukwaa hili na kutoa uchambuzi wako utakuwa unatenda haki zaidi.Kushambulia ndio njia pekee ya kupata ushindi. Kutumia nafasi vizuri ndio kinachobaki ili goli liingie. Kadri unavyoshambulia ndivyo unavyoelekea kupata goli. Na kadri unavyocheza zaidi kwenye ngwe ya mwisho ya adui ndivyo ushambuliaji unavyokuwa endelevu, hivyo kutengeneza nafasi nyingi za kufunga. Na kadri unavyotengeneza nafasi nyingi za kufunga ndivyo uwezekano wa kufunga unavyoongezeka. Ndio maana hakuna timu inayoruhusu kwa makusudi kuchezewa mpira ndani ya kumi na nane yao. Simba hawakuridhia kuchezewa hivyo, imewakuta tu; pamoja na kuwepo Mkude. Kwamba Simba ilitumia nafasi moja tu kushinda imetokana zaidi na makosa ya kipa kuliko utimilifu wa shambulizi lao. Kwamba Yanga haikutangulia kufunga ilitokana zaidi na uwezo wa kipa wa Simba kuliko ubutu wa mashambulizi yenyewe. Anyway, umenifanya nikufuate kwenye kutoka nje ya mjadala mama wa Mkude na Tshishimbi. Naamini umekubaliana nami, maana hatimaye hukuongea chochote kuhusu hilo.
Shukran kwa maoni yako mema kuhusu mimi na jukwaa hili. Nami nakushukuru pia kwa mjadala uliojaa ustaarabu, hekima na busara. Natamani wana-Jamii Forum wote wangekuiga wewe jinsi ya kutetea hoja bila ya jazba wala mihemko na kuhoji bila ya kejeli wala kiburi.Kwanza nikupe heads up kwa kulifanya jukwaa hili kuwa lenye uchambuzi zaidi kuliko ushabiki. Nadhani ukiendelea kupitia jukwaa hili na kutoa uchambuzi wako utakuwa unatenda haki zaidi.
Nirudi kwenye topic, Mkude aliingia wakati almost mpira unakwisha zikiwa zimesalia dakika chache sana kipyenga cha mwisho kupulizwa, hata hivyo alionekana kung'ara zaidi kwa maana ya kuiunganisha timu toka defence kwenda forward kuliko mwanzoni.
Kwa stats hizi hapa chini sioni ni wapi Yanga walilishambulia sana lango la Simba. Yanga walipiga mipira michache zaidi kuelekea golini kwa Simba (On target + Off target) kulinganisha na Simba ambao jumla walipiga mipira mara 16 dhidi ya mara 12 ya Yanga.
Simba walipata kona nyingi zaidi ya Yanga na mwisho wa siku walimiliki zaidi mpira kuliko Yanga kwa kiwango kikubwa sana kama inavyooneshwa hapo chini.
Yet in my book, Simba wali underperform.
Stats Yanga Simba
Shots on Target 9 4
Shots off Target 3 12
Corners 5 6
Ball Possession 42% 58%