Man of the match: Papy Kabamba Tshishimbi

Man of the match: Papy Kabamba Tshishimbi

Ndo mana Papy kapewa man of the match kwa mashuti...uyo ana bahati alibadilisha groves
shuti si lilikuwa moja tu au na yale aliyokuwa anapaisha na kama uatasema kapiga mashuti mengi golini basi man of the match ni manula
 
Kabamba kama Sergio Busquet pale Barca huezi sikia akizungumza ila shughuli yake muulize Kotei.
Huyu fundi wa mpira halafu pacha wake hakuwepo Kamusoko

Wanasema Ulipo mpira na Papy yupo

Kaletewa Mkude,Ndemla ila bado mutu ya Kongo kawafunika.
 
Alaf zile gloves zilitoka kwa manara kapewa wkt anaingia na maneno alimwambia,daa ila tshishimbi kwa kunyooka ni hatari na pia nimegundua game ya watan anacheza vizuri sana
Jamaa ni noma kwa mambo hayo wana ndumba yäo ile ya kucheza pungufu alafu wanarudisha goli hii hutokea kipindi cha pili kama wametanguliwa kùfungwa
 
Hizo Billioni moja kina Hans Pope na Kaburu wamezitafuna sioni thamani ya hizo pesa kwa kikosi cha Simba.

Pia Yanga walitumia busara kuachia Niyozima aondoke hana thamani hiyo na angebaki angekosa namba.
 
Watakatishaji hao ni kawaida yao upigaji.

Ninyonzima hautomaliza mkataba pale Simba
 
Back
Top Bottom