limbende
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,038
- 621
Lile ni kama vitu vya Kim jom um wa north Korea,, kijana anawezaJamaa anajua yaan kawakosa risasi moja kali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile ni kama vitu vya Kim jom um wa north Korea,, kijana anawezaJamaa anajua yaan kawakosa risasi moja kali sana
Man of the Match nasikia kapewa Kichuya.!!Ndo mana Papy kapewa man of the match kwa mashuti...uyo ana bahati alibadilisha groves
Hata mie zile gloves nna mashaka nazoNdo mana Papy kapewa man of the match kwa mashuti...uyo ana bahati alibadilisha groves
Wamesahau tangu lini mbumbumbu akawa na kumbukumbuSimba walishangilia ya mtibwa au umesahau!
Pale kapewa zile kupangua mashuti ya papy maana yalikuwa hatari kwa afya ya kipaHata mie zile gloves nna mashaka nazo
shuti si lilikuwa moja tu au na yale aliyokuwa anapaisha na kama uatasema kapiga mashuti mengi golini basi man of the match ni manulaNdo mana Papy kapewa man of the match kwa mashuti...uyo ana bahati alibadilisha groves
Uliangalia mechi?shuti si lilikuwa moja tu au na yale aliyokuwa anapaisha na kama uatasema kapiga mashuti mengi golini basi man of the match ni manula
Alaf zile gloves zilitoka kwa manara kapewa wkt anaingia na maneno alimwambia,daa ila tshishimbi kwa kunyooka ni hatari na pia nimegundua game ya watan anacheza vizuri sanaPale kapewa zile kupangua mashuti ya papy maana yalikuwa hatari kwa afya ya kipa
Kichuya kapewa na mashabiki upande wa simba, yaani kwenye kikosi cha mbumbumbu fc yeye ndiye man of the matchMan of the Match nasikia kapewa Kichuya.!!
Jamaa ni noma kwa mambo hayo wana ndumba yäo ile ya kucheza pungufu alafu wanarudisha goli hii hutokea kipindi cha pili kama wametanguliwa kùfungwaAlaf zile gloves zilitoka kwa manara kapewa wkt anaingia na maneno alimwambia,daa ila tshishimbi kwa kunyooka ni hatari na pia nimegundua game ya watan anacheza vizuri sana
Kwahiyo kwa akili yako mpira ukiisha kwa droo huwa hakuna man of the match?MPAKA MAN OF THE MATCH KATOKA KWENU KWELI MMEJITAHIDI KUTOA MOJA KWA MOJA
Ha ha ha ha haKichuya kapewa na mashabiki upande wa simba, yaani kwenye kikosi cha mbumbumbu fc yeye ndiye man of the match
Wakijibu nitagHivi Okwi aliķuwepo leo?
Watakatishaji hao ni kawaida yao upigaji.Hizo Billioni moja kina Hans Pope na Kaburu wamezitafuna sioni thamani ya hizo pesa kwa kikosi cha Simba.
Pia Yanga walitumia busara kuachia Niyozima aondoke hana thamani hiyo na angebaki angekosa namba.
Cjamckia manara had muda huu,,labda Yuko ICUJamaa ni noma kwa mambo hayo wana ndumba yäo ile ya kucheza pungufu alafu wanarudisha goli hii hutokea kipindi cha pili kama wametanguliwa kùfungwa
Hana chakuongea kawaaminsha mashabiķi kuwa timu imelala serena hotel kuamkia leoCjamckia manara had muda huu,,labda Yuko ICU