mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Klabu ya manchester united nchini England imepitisha mpango wa kujenga uwanja mpya wa mpira utakaokua na manufaa zaidi kuliko kukarabati ule uliopo [old trafford], uwanja huo utakaobeba mashabiki 100,000 unakadiriwa kugharimu euro bilioni 2.4. Mpango huu umetokana na kuvuja kwa uwanja wa zamani wa Old Trafford katika mechi dhidi ya arsenal May13,2024