Man United yaipiga Southampton goli 1-0, ni ushindi wa pili mfululizo

Man United yaipiga Southampton goli 1-0, ni ushindi wa pili mfululizo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Premier League, leo Agosti 27, 2022 ukiwa ni ushindi wa pili mfululizo.

Bruno Fernandez ndiye aliyefunga goli la Man United katika dakika ya 55.

United ilipoteza mechi mbili za kwanza msimu huu kabla ya kuifunga Liverpool, wiki iliyopita.
 
Ushindi wa mbinde sana CR 7 kwa macho tu aliku anaonekana hataki kucheza kwa kujituma muda mwingi anategea tu.
 
Back
Top Bottom