Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Saa 1:30 usiku kwa masaa ya Afrika Mashariki, Arsenal itakuwa inashuka dimbani kupambana na wapinzani wao Man Utd.
Man Utd itashuka dimbani bila kiungo wao mahiri Casemiro, ambaye amekuwa mhimili mkubwa sana kwao.
Ikumbukwe mechi ya kwanza Man Utd alishinda 3-1 dhidi ya Arsenal pale Old Trafford bila ya Casemiro.
Je, United itaweza kumzuia Arsenal?