Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hakuwepo ila unapokuwa key player halafu ukakosekana tena kwenye mechi muhimu hilo ni tatizoKwani mechi ya mwanzo casemiro alikuwepo?
Duuh watu wa Arsenal mna majigamboHata angekuepo Roy keane leo kufungwa lazima
Mkuu Hiyo itakuwa ni timu au genge la wahuniHakuwepo ila unapokuwa key player halafu ukakosekana tena kwenye mechi muhimu hilo ni tatizo
Sio majigambo Arsenal tuna GD 28 tunacheza na timu yenye GD 8 halafu ilecheza mechi 19? Unaona kuna timu au kikundi cha wapiga kelele mitandaoni?Duuh watu wa Arsenal mna majigambo
Yani hapo hata kama ningekuepo mimi ushindi ule paleeee... kama hutaki subiri jioni ifike.Saa 1:30 usiku kwa masaa ya Afrika Mashariki, Arsenal itakuwa inashuka dimbani kupambana na wapinzani wao Man Utd.
Man Utd itashuka dimbani bila kiungo wao mahiri Casemiro, ambaye amekuwa mhimili mkubwa sana kwao.
Ikumbukwe mechi ya kwanza Man Utd alishinda 3-1 dhidi ya Arsenal pale Old Trafford bila ya Casemiro.
Je, United itaweza kumzuia Arsenal?
😂😂Yani hapo hata kama ningekuepo mimi ushindi ule paleeee... kama hutaki subiri jioni ifike.
Partey kageuzwa kama nyanya za nyongezaFirst game mliwafunga bila partey mjiandae tu
Leta matokeo ya mwishoPartey kageuzwa kama nyanya za nyongeza
Nafikiri jawabu ushalipataHakuwepo ila unapokuwa key player halafu ukakosekana tena kwenye mechi muhimu hilo ni tatizo
Arsenal kafanya mambo matamuSaa 1:30 usiku kwa masaa ya Afrika Mashariki, Arsenal itakuwa inashuka dimbani kupambana na wapinzani wao Man Utd.
Man Utd itashuka dimbani bila kiungo wao mahiri Casemiro, ambaye amekuwa mhimili mkubwa sana kwao.
Ikumbukwe mechi ya kwanza Man Utd alishinda 3-1 dhidi ya Arsenal pale Old Trafford bila ya Casemiro.
Je, United itaweza kumzuia Arsenal?
Yow, mbon ule uzi wetu pendwa wa Arsenal siuwoni tangua jana.Sio majigambo Arsenal tuna GD 28 tunacheza na timu yenye GD 8 halafu ilecheza mechi 19? Unaona kuna timu au kikundi cha wapiga kelele mitandaoni?
Sio majigambo Arsenal tuna GD 28 tunacheza na timu yenye GD 8 halafu ilecheza mechi 19? Unaona kuna timu au kikundi cha wapiga kelele mitandaoni?
Spurs na man U wale wale tuui maana n GD 7 kwa 8Kwa hiyo spurs ana magoli machache dhidi ya man u?