Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Man itakuwa timu ya nne kudroo na liver
Pamoja na ubovu Wa man u ila hawez fungwa simple hvo mkuuDroo!
Man pona pona yake ni kutopeleka timu uwanjani, otherwise 3 - 1 inamhusu.
Pamoja na ubovu Wa man u ila hawez fungwa simple hvo mkuu
Day dreaming...Weekend hii jumapili, saa 1 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Liverpool itakuwa nyumbani ikiialika Man Utd katika derby maarufu ya North West Derby.
Man Utd itaingia kama underdogs huku.Liverpool ikiwa timu inayopewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi.
Ila kwa hisia zangu kuelekea mchezo huu, Man Utd ataingia na kupaki basi, huku baadhi ya wachezaji wa Man Utd wakipewa jukumu la man marking kwa key players wa Liverpool.
Liverpool atatawala mchezo, lakini mshindi atakuwa Man Utd. Mwiso wa siku Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool kwenye EPL. Ni suala la muda tu...
Hao ni watani/ mahasimu wa kihistoria ila sio derby. Labda kama wangekuwa wametokea jiji moja ndo ingeitwa derbyHiyo ndio derby original ya England
bora umewaelekeza wewe coz mi nmeona hatuelewaniHao ni watani wa jadi ila sio derby. Labda kama wangekuwa wametokea jiji moja ndo ingeitwa derby
Hao ni watani wa jadi ila sio derby. Labda kama wangekuwa wametokea jiji moja ndo ingeitwa derby
kama hiyo ni derby bas hata Barcelona na real Madrid ni derby
Hahaha tukutane jpiliDay dreaming...
Hao ni watani/ mahasimu wa kihistoria ila sio derby. Labda kama wangekuwa wametokea jiji moja ndo ingeitwa derby
Hapana ni derby, North west Derby.Hao ni watani/ mahasimu wa kihistoria ila sio derby. Labda kama wangekuwa wametokea jiji moja ndo ingeitwa derby
Upo sahihi mkuuHapana ni derby, North west Derby.
Liverpool na manchester wapo eneo moja na wana share mambo mengi ya kiserikali.
Katika mikoa 9 ya uingereza huu ni mmoja wapo
North West England - Wikipedia
Upo sahihiWanaiita North-West Derby.
tafasiri ya derby ilishabadilika mkuu fatilia kabla hujacommentHao ni wata Ini/ mahasimu wa kihistoria ila sio derby. Labda kama wangekuwa wametokea jiji moja ndo ingeitwa derby
Kupata vichekesho vingine kama hivi tuma neno Cheka kwenda 15567Weekend hii jumapili, saa 1 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Liverpool itakuwa nyumbani ikiialika Man Utd katika derby maarufu ya North West Derby.
Man Utd itaingia kama underdogs huku.Liverpool ikiwa timu inayopewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi.
Ila kwa hisia zangu kuelekea mchezo huu, Man Utd ataingia na kupaki basi, huku baadhi ya wachezaji wa Man Utd wakipewa jukumu la man marking kwa key players wa Liverpool.
Liverpool atatawala mchezo, lakini mshindi atakuwa Man Utd. Mwiso wa siku Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool kwenye EPL. Ni suala la muda tu...
Kweli kabisa,kama Timu yako Mkia isivyoweza kuifunga Nkana.Mimi man utd damu ila hatuwizi kuifunga Liverpool kwa Sasa
Liverpool 3 man utd 0
Kwanini Liverpool asifungwe? Mpira unadunda mkuuMimi man utd damu ila hatuwizi kuifunga Liverpool kwa Sasa
Liverpool 3 man utd 0
Mimi Yanga damu ila Simba wanatimu Bora kuliko NkanaKweli kabisa,kama Timu yako Mkia isivyoweza kuifunga Nkana.
Nkana 3 Mikia 0