Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool katika EPL msimu huu

Weekend hii jumapili, saa 1 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Liverpool itakuwa nyumbani ikiialika Man Utd katika derby maarufu ya North West Derby.

Man Utd itaingia kama underdogs huku.Liverpool ikiwa timu inayopewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi.

Ila kwa hisia zangu kuelekea mchezo huu, Man Utd ataingia na kupaki basi, huku baadhi ya wachezaji wa Man Utd wakipewa jukumu la man marking kwa key players wa Liverpool.

Liverpool atatawala mchezo, lakini mshindi atakuwa Man Utd. Mwiso wa siku Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool kwenye EPL. Ni suala la muda tu...
Day dreaming...
 
Hao ni watani/ mahasimu wa kihistoria ila sio derby. Labda kama wangekuwa wametokea jiji moja ndo ingeitwa derby
Hapana ni derby, North west Derby.
400px-North_West_England_in_England.svg.png

Liverpool na manchester wapo eneo moja na wana share mambo mengi ya kiserikali.

Katika mikoa 9 ya uingereza huu ni mmoja wapo

North West England - Wikipedia
 
Weekend hii jumapili, saa 1 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Liverpool itakuwa nyumbani ikiialika Man Utd katika derby maarufu ya North West Derby.

Man Utd itaingia kama underdogs huku.Liverpool ikiwa timu inayopewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi.

Ila kwa hisia zangu kuelekea mchezo huu, Man Utd ataingia na kupaki basi, huku baadhi ya wachezaji wa Man Utd wakipewa jukumu la man marking kwa key players wa Liverpool.

Liverpool atatawala mchezo, lakini mshindi atakuwa Man Utd. Mwiso wa siku Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool kwenye EPL. Ni suala la muda tu...
Kupata vichekesho vingine kama hivi tuma neno Cheka kwenda 15567
 
Back
Top Bottom