interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Yanga haina chembe chembe za damu zaidi ya ukijani na unjano labda unaandika huku unaota.Mimi Yanga damu ila Simba wanatimu Bora kuliko Nkana
Nkana 1 Simba 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga haina chembe chembe za damu zaidi ya ukijani na unjano labda unaandika huku unaota.Mimi Yanga damu ila Simba wanatimu Bora kuliko Nkana
Nkana 1 Simba 3
Uko sahihiMi ni Liverpool lkn kwa mkeka niliompa man u navuna laki 4 acha tufungwe
Kikao cha Anfield kimeisha salama,Weekend hii jumapili, saa 1 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Liverpool itakuwa nyumbani ikiialika Man Utd katika derby maarufu ya North West Derby.
Man Utd itaingia kama underdogs huku.Liverpool ikiwa timu inayopewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi.
Ila kwa hisia zangu kuelekea mchezo huu, Man Utd ataingia na kupaki basi, huku baadhi ya wachezaji wa Man Utd wakipewa jukumu la man marking kwa key players wa Liverpool.
Liverpool atatawala mchezo, lakini mshindi atakuwa Man Utd. Mwiso wa siku Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool kwenye EPL. Ni suala la muda tu...
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mi ni Liverpool lkn kwa mkeka niliompa man u navuna laki 4 acha tufungwe
Nakusalimia mkuuMi ni Liverpool lkn kwa mkeka niliompa man u navuna laki 4 acha tufungwe
Kweli [emoji23] [emoji23]Mi ni Liverpool lkn kwa mkeka niliompa man u navuna laki 4 acha tufungwe
Droo!
Man pona pona yake ni kutopeleka timu uwanjani, otherwise 3 - 1 inamhusu.
vp umeweka mke?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...
Tatizo Mourinho hakawii kupanga kikosi cha ajabu mwishowe kilio!!!
Dah [emoji13] [emoji13]Weka hata mke, ushindi uhakika