Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool katika EPL msimu huu

Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool katika EPL msimu huu

Write your reply...Hiyo game ya United kumfunga Liver nadhani itarushwa TBC ila channel kama super sport, bein sport, sky sport na nyingine zitaonesha United kufungwa na Liver
 
Weekend hii jumapili, saa 1 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Liverpool itakuwa nyumbani ikiialika Man Utd katika derby maarufu ya North West Derby.

Man Utd itaingia kama underdogs huku.Liverpool ikiwa timu inayopewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi.

Ila kwa hisia zangu kuelekea mchezo huu, Man Utd ataingia na kupaki basi, huku baadhi ya wachezaji wa Man Utd wakipewa jukumu la man marking kwa key players wa Liverpool.

Liverpool atatawala mchezo, lakini mshindi atakuwa Man Utd. Mwiso wa siku Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool kwenye EPL. Ni suala la muda tu...
Kikao cha Anfield kimeisha salama,
Ahsanteni Mwanitesa United kushiriki.
 
Back
Top Bottom