Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #41
Ni derby mkuu, ndio maana inaitwa North West Derby. Tena ni miongoni mwa derby bora barani ulaya na duniani kwa ujumla.kama hiyo ni derby bas hata Barcelona na real Madrid ni derby
Unadunda lakini sio kwenye Maji mkuuKwanini Liverpool asifungwe? Mpira unadunda mkuu
There you are.Liverpool 1 Man united 2.
Ha ha ha haMan utd akimfunga Liver, baasi 2020 kura yangu itaenda CCM!
Tukutane jumapili, uje tena kwa mbwembwe kama hiziMan itakuwa timu ya nne kudroo na liver
Liverpool wako fomu ila hawatoamini watakachokutana nacho. United itacheza kwa mbinu zaidi na itapata matokeo.Droo!
Man pona pona yake ni kutopeleka timu uwanjani, otherwise 3 - 1 inamhusu.
Unaweza kuwa sahihi man u kushinda ila maelezo yako kwamba liver watachezea mpira na man u kupak sidhan kama itatokea. Kama umeangalia game kubwa zote za liver mchezo huu wanacheza kwa tahadhari Sana ndo mana mechi na man city, Chelsea na aseno zote ziliisha sare . Klopp amebadilika siku hiz kwa wakubwa anatafuta sare af ndogo anazifunga kama ilivyokua kwa morinho kpnd anachukua ubingwa. Klopp sio wa misimu ya zamani wa kucheza game kubwa na kupoteza ndogoLiverpool wako fomu ila hawatoamini watakachokutana nacho. United itacheza kwa mbinu zaidi na itapata matokeo.
Klopp sio wa misimu ya zamani wa kucheza game kubwa na kupoteza ndogo
Liverpool wako fomu ila hawatoamini watakachokutana nacho. United itacheza kwa mbinu zaidi na itapata matokeo.
Ni jumapili sasa. Mechi zote mbili za Anfield, Jose ametoa suluhu ya 0-0Hebu jiulize, kuna siku gani Man United ya Mou ilishawahi kwenda lini pale Anfield kuchukua Point tatu na kusepa
Wapenzi wa man u wanafarijiana hapa, njooni mjionee wenyewe kina King Ngwaba , njoo na MosDef
4-0 Liverpool winWeekend hii jumapili, saa 1 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Liverpool itakuwa nyumbani ikiialika Man Utd katika derby maarufu ya North West Derby.
Man Utd itaingia kama underdogs huku.Liverpool ikiwa timu inayopewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi.
Ila kwa hisia zangu kuelekea mchezo huu, Man Utd ataingia na kupaki basi, huku baadhi ya wachezaji wa Man Utd wakipewa jukumu la man marking kwa key players wa Liverpool.
Liverpool atatawala mchezo, lakini mshindi atakuwa Man Utd. Mwiso wa siku Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool kwenye EPL. Ni suala la muda tu...
Nilitegemea jibu hili, twenzetu kwenye jukwaa letu na thread yetu ya chama letuMimi Huwa Nyuzi kama Hizi za Wapiga Ramli Ninaziangalia tu na Kupotezea Coz Zinaandikwa Kwa Ajili ya Mwandishi Kupata Likes tu na si Jengine
[emoji3][emoji3][emoji3]Weka hata mke, ushindi uhakika
Umenifanya nicheke kwa sauti Mkuu....huna udamu wowote na man u! labda una umaji na man u