Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #41
Ni derby mkuu, ndio maana inaitwa North West Derby. Tena ni miongoni mwa derby bora barani ulaya na duniani kwa ujumla.kama hiyo ni derby bas hata Barcelona na real Madrid ni derby
Upinzani wao ulianza miaka ya 1880 kuhusu masuala ya bandari. Na sasa ni miaka takribani 55 hakuna mchezaji aliyehama moja kwa moja kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.