Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool katika EPL msimu huu

Kama Herrera atakuwa fiti na ataanzishwa siku hiyo, basi Liverpool atakuwa hana chake.

Pia namuona Ashley Young akipewa jukumu flani la kuhakikisha ule upande hatari wa kulia wa Liverpool akiudhibiti ipasavyo kwanzia kwa Trent Alexander Anold mpaka kwa Mo Salah.
Pole kiongozi
 
Weekend hii jumapili, saa 1 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Liverpool itakuwa nyumbani ikiialika Man Utd katika derby maarufu ya North West Derby.

Man Utd itaingia kama underdogs huku.Liverpool ikiwa timu inayopewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi.

Ila kwa hisia zangu kuelekea mchezo huu, Man Utd ataingia na kupaki basi, huku baadhi ya wachezaji wa Man Utd wakipewa jukumu la man marking kwa key players wa Liverpool.

Liverpool atatawala mchezo, lakini mshindi atakuwa Man Utd. Mwiso wa siku Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool kwenye EPL. Ni suala la muda tu...
Hatimaye ndoto yako imekugeuza kinyume na maumbile... umekuwa kama shoga
 
Humu ndani badala ya mpira wanasifiwa wazaz wetu kwa kutaja viungo nyeti kbx Ila ushabiki uwe na mipaka na tuzid kuheshimiana
 
Weekend hii jumapili, saa 1 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Liverpool itakuwa nyumbani ikiialika Man Utd katika derby maarufu ya North West Derby.

Man Utd itaingia kama underdogs huku.Liverpool ikiwa timu inayopewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi.

Ila kwa hisia zangu kuelekea mchezo huu, Man Utd ataingia na kupaki basi, huku baadhi ya wachezaji wa Man Utd wakipewa jukumu la man marking kwa key players wa Liverpool.

Liverpool atatawala mchezo, lakini mshindi atakuwa Man Utd. Mwiso wa siku Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool kwenye EPL. Ni suala la muda tu...

Soka sio ramli
 
Injinia Soma hiyoo, Ngapi??
IMG-20181216-WA0075.jpg
 
Back
Top Bottom