Man utd na arsenal hazina tofauti zikikutana na wanaojua mpira

Man utd na arsenal hazina tofauti zikikutana na wanaojua mpira

IMG_8276.jpg

Famasiala nini
 
Usitushushie heshima aisee Arsenal hatuchezi mpira wajinga kama wa manyumbu
 
Inaonekana untd anafatiliwa sana, imagine mashabiki wa Chelsea, Arsenal na city wanashangilia kufungwa kwake, but all in all that's football.
 
😂😂😂

Unajua tulilewa sana previous week ,bado tunashangilia lile kombe


We will come back sstronger

#HeadsUp
 
Back
Top Bottom