Man Utd UCL 2008 winners Vs Liverpool UCL 2019 winners, kipi kilikuwa kikosi kikali?

Man Utd UCL 2008 winners Vs Liverpool UCL 2019 winners, kipi kilikuwa kikosi kikali?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Man Utd ya 2008 iliyotwaa Uefa Champions League (UCL) ni moja ya kikosi bora kuwahi kutokea katika historia ya Uefa.

Golini Van Der Sar, ukutani kuna makamanda Rio na Vidic, Kiungo kuna watoto wa Kiingereza wakiongozwa na Scholes, Carrick, Fletcher na kiungo fundi ambaye alikuwa majeruhi muda mwingi, Owen Hargreaves.

Idara ya Ushambuliaji kulikuwa na Utatu mtakatifu wa Ronaldo, Tevez na Rooney!
Walitwaa ubingwa kwa mikwaju ya penati.
IMG_1236.jpg

Liverpool iliyotwaa ubingwa wa Ulaya mwaka 2019 ilkuwa ya hatari sana isiyozuilika. Golini Allison Becker kipa wa dunia. Kwenye ulinzi kuna kiranja Van Dijk akiongoza vyema safu yake ya ulinzi.

Idara ya kiungo, Mdachi Wijnaldum, Captain Henderson na Fabinho. Ni moja ya idara ngumu za kiungo, hapo benchi unakutana na akina Keita, Chamberlain na wengineo!

Ushambuliaji kuna Salah, Bobby Firmino na Mane (M-Pesa) kombo ambayo inakupa goli muda wowote wa mchezo!
IMG_1235.jpg

Je kipi ni kikosi kikali zaidi?

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
2008 si ungelinganisha na liver ya 2005
Upo sahihi mkuu hapo ukiangalia hata mfanano wa mchezaji mmoja mmoja bado huwezi kufananisha ,yaani Tevez afanane na Firmino aisee haiwezekani Tevez bado baba la baba,haya njoo kwenye mfumo wa timu ni tofauti kabisa mimi nakubaliana na wewe kwamba Masherano tumlinganishe na Vidic
 
Huu uzi ni mkubwa sana kwako, tafuta nyuzi zako za Simba na Yanga labda! Yaani Mascherano umfananishe na Vidic how? Huyo Mascherano 2005 alikuwepo Liverpool? Usipende kukurupuka tuu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huu uzi ni mkubwa sana kwako, tafuta nyuzi zako za Simba na Yanga labda! Yaani Mascherano umfananishe na Vidic how? Huyo Mascherano 2005 alikuwepo Liverpool? Usipende kukurupuka tuu

Sent from my iPhone using Tapatalk
Nimeanza kuangalia mpira mwaka 1985 mbona unapanic kwa mambo ya kijinga watu wa mpira hawapo hivyo au ungetafuta platform yako ili watu wasikupinge ukileta mavi watu wanaleta pilau tulia
 
Nimeanza kuangalia mpira mwaka 1985 mbona unapanic kwa mambo ya kijinga watu wa mpira hawapo hivyo au ungetafuta platform yako ili watu wasikupinge ukileta mavi watu wanaleta pilau tulia

Kuangalia mpira kuanzia mwaka 1985 kunanisaidia nini mimi? Wewe shabikia mipira ya akina Utopolo

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kuangalia mpira kuanzia mwaka 1985 kunanisaidia nini mimi? Wewe shabikia mipira ya akina Utopolo

Sent from my iPhone using Tapatalk
Wewe ndio UTOPOLO mpira wenyewe hajui unaandika pumba hapa kakojoe ukalale
 
Back
Top Bottom