Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Man Utd ya 2008 iliyotwaa Uefa Champions League (UCL) ni moja ya kikosi bora kuwahi kutokea katika historia ya Uefa.
Golini Van Der Sar, ukutani kuna makamanda Rio na Vidic, Kiungo kuna watoto wa Kiingereza wakiongozwa na Scholes, Carrick, Fletcher na kiungo fundi ambaye alikuwa majeruhi muda mwingi, Owen Hargreaves.
Idara ya Ushambuliaji kulikuwa na Utatu mtakatifu wa Ronaldo, Tevez na Rooney!
Walitwaa ubingwa kwa mikwaju ya penati.
Liverpool iliyotwaa ubingwa wa Ulaya mwaka 2019 ilkuwa ya hatari sana isiyozuilika. Golini Allison Becker kipa wa dunia. Kwenye ulinzi kuna kiranja Van Dijk akiongoza vyema safu yake ya ulinzi.
Idara ya kiungo, Mdachi Wijnaldum, Captain Henderson na Fabinho. Ni moja ya idara ngumu za kiungo, hapo benchi unakutana na akina Keita, Chamberlain na wengineo!
Ushambuliaji kuna Salah, Bobby Firmino na Mane (M-Pesa) kombo ambayo inakupa goli muda wowote wa mchezo!
Je kipi ni kikosi kikali zaidi?
Sent from my iPhone using Tapatalk