Man Utd UCL 2008 winners Vs Liverpool UCL 2019 winners, kipi kilikuwa kikosi kikali?

Man Utd ya 2008 iliyotwaa Uefa Champions League (UCL) ni moja ya kikosi bora kuwahi kutokea katika historia ya Uefa.

Golini Van Der Sar, ukutani kuna makamanda Rio na Vidic, Kiungo kuna watoto wa Kiingereza wakiongozwa na Scholes, Carrick, Fletcher na kiungo fundi ambaye alikuwa majeruhi muda mwingi, Owen Hargreaves.

Idara ya Ushambuliaji kulikuwa na Utatu mtakatifu wa Ronaldo, Tevez na Rooney!
Walitwaa ubingwa kwa mikwaju ya penati.
View attachment 1430156

Liverpool iliyotwaa ubingwa wa Ulaya mwaka 2019 ilkuwa ya hatari sana isiyozuilika. Golini Allison Becker kipa wa dunia. Kwenye ulinzi kuna kiranja Van Dijk akiongoza vyema safu yake ya ulinzi.

Idara ya kiungo, Mdachi Wijnaldum, Captain Henderson na Fabinho. Ni moja ya idara ngumu za kiungo, hapo benchi unakutana na akina Keita, Chamberlain na wengineo!

Ushambuliaji kuna Salah, Bobby Firmino na Mane (M-Pesa) kombo ambayo inakupa goli muda wowote wa mchezo!
View attachment 1430160

Je kipi ni kikosi kikali zaidi?

Sent from my iPhone using Tapatalk

Wacha kufananisha vyura na mamba...Man U ya 2009 ni kali zaidi, hii Liverpool pia ni kali ila si kivile, yaani haijafikia level ya Man U ya mwaka 2009.
 
Mm naona liverpool

Sababu n hii, timu zote mbili ziko vzuri mno kwny foward goli n mda wowote tu ila tatzo n kuanzia hapo kwny kiungo na beki

Kwny hzo nafasi 2 liver wanawazidi man u kwa kiasi fulan hasa ukisema kuhusu beki

Kuna mchambuzi m1 alisema hv karbuni kwamba yy angemchukua vvd badala ya vidik, beki ya liver ingekuwa kikwazo mno kwa man u kuhusu kiungo hawa wa liver n vipaji halisi labda ukimtoa hendo wale kna fletcher na carrick walikuwa wazuri 7bu pia fergie alikuwa mkali mno
Hayo n mawazo yangu tu
Hivi katika front 3 ya Tevez, Christiano Ronaldo na Wayne Rooney hiyo front 3 ya Liverpool ingeweza kutoboa kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm naona liverpool

Sababu n hii, timu zote mbili ziko vzuri mno kwny foward goli n mda wowote tu ila tatzo n kuanzia hapo kwny kiungo na beki

Kwny hzo nafasi 2 liver wanawazidi man u kwa kiasi fulan hasa ukisema kuhusu beki

Kuna mchambuzi m1 alisema hv karbuni kwamba yy angemchukua vvd badala ya vidik, beki ya liver ingekuwa kikwazo mno kwa man u kuhusu kiungo hawa wa liver n vipaji halisi labda ukimtoa hendo wale kna fletcher na carrick walikuwa wazuri 7bu pia fergie alikuwa mkali mno
Hayo n mawazo yangu tu
Michael Carrick katika midfield ya Liverpool angewekwa bench na nani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man Utd ya 2008 iliyotwaa Uefa Champions League (UCL) ni moja ya kikosi bora kuwahi kutokea katika historia ya Uefa.

Golini Van Der Sar, ukutani kuna makamanda Rio na Vidic, Kiungo kuna watoto wa Kiingereza wakiongozwa na Scholes, Carrick, Fletcher na kiungo fundi ambaye alikuwa majeruhi muda mwingi, Owen Hargreaves.

Idara ya Ushambuliaji kulikuwa na Utatu mtakatifu wa Ronaldo, Tevez na Rooney!
Walitwaa ubingwa kwa mikwaju ya penati.
View attachment 1430156

Liverpool iliyotwaa ubingwa wa Ulaya mwaka 2019 ilkuwa ya hatari sana isiyozuilika. Golini Allison Becker kipa wa dunia. Kwenye ulinzi kuna kiranja Van Dijk akiongoza vyema safu yake ya ulinzi.

Idara ya kiungo, Mdachi Wijnaldum, Captain Henderson na Fabinho. Ni moja ya idara ngumu za kiungo, hapo benchi unakutana na akina Keita, Chamberlain na wengineo!

Ushambuliaji kuna Salah, Bobby Firmino na Mane (M-Pesa) kombo ambayo inakupa goli muda wowote wa mchezo!
View attachment 1430160

Je kipi ni kikosi kikali zaidi?

Sent from my iPhone using Tapatalk
Kikosi cha 2008 weakness yake ni beki namba 2 tu wes brown, ukitoa huyo liverpool ya sasa sidhani kama kuna mchezaji angepata namba.
 
Wewe ni shabiki wa man u so tuseme man u yenu ilikuwa Qonqi Furahia
 
Nilitaka nichangie lakini majibu ya mtoa mada ni kiboko aiseee
 
Back
Top Bottom