Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #41
Man U ya 2008 ilikuwa kiboko wote wapambanaji hakuna garasa hadi waliokuwa wakusugua benchi .
Hatari mkuu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man U ya 2008 ilikuwa kiboko wote wapambanaji hakuna garasa hadi waliokuwa wakusugua benchi .
Liverpool alias Jogoo wa jijiHatari mkuu
Sent from my iPhone using Tapatalk
PoaSawa kamanda umesomeka
Sent from my iPhone using Tapatalk
waliku?Mkuu una kichwa kigumu sana, hakika waliku wako walipata tabu sana
Tena alikufa goli 2.Sawa mkuu nimekuelewa! Maana kuna kipindi SAF alipanga mabeki 7 kwenye starting xi na akaifunga Arsenal iliyotimia
Sent from my iPhone using Tapatalk
Man Utd ya 2008 iliyotwaa Uefa Champions League (UCL) ni moja ya kikosi bora kuwahi kutokea katika historia ya Uefa.
Golini Van Der Sar, ukutani kuna makamanda Rio na Vidic, Kiungo kuna watoto wa Kiingereza wakiongozwa na Scholes, Carrick, Fletcher na kiungo fundi ambaye alikuwa majeruhi muda mwingi, Owen Hargreaves.
Idara ya Ushambuliaji kulikuwa na Utatu mtakatifu wa Ronaldo, Tevez na Rooney!
Walitwaa ubingwa kwa mikwaju ya penati.
View attachment 1430156
Liverpool iliyotwaa ubingwa wa Ulaya mwaka 2019 ilkuwa ya hatari sana isiyozuilika. Golini Allison Becker kipa wa dunia. Kwenye ulinzi kuna kiranja Van Dijk akiongoza vyema safu yake ya ulinzi.
Idara ya kiungo, Mdachi Wijnaldum, Captain Henderson na Fabinho. Ni moja ya idara ngumu za kiungo, hapo benchi unakutana na akina Keita, Chamberlain na wengineo!
Ushambuliaji kuna Salah, Bobby Firmino na Mane (M-Pesa) kombo ambayo inakupa goli muda wowote wa mchezo!
View attachment 1430160
Je kipi ni kikosi kikali zaidi?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hivi katika front 3 ya Tevez, Christiano Ronaldo na Wayne Rooney hiyo front 3 ya Liverpool ingeweza kutoboa kweli ?Mm naona liverpool
Sababu n hii, timu zote mbili ziko vzuri mno kwny foward goli n mda wowote tu ila tatzo n kuanzia hapo kwny kiungo na beki
Kwny hzo nafasi 2 liver wanawazidi man u kwa kiasi fulan hasa ukisema kuhusu beki
Kuna mchambuzi m1 alisema hv karbuni kwamba yy angemchukua vvd badala ya vidik, beki ya liver ingekuwa kikwazo mno kwa man u kuhusu kiungo hawa wa liver n vipaji halisi labda ukimtoa hendo wale kna fletcher na carrick walikuwa wazuri 7bu pia fergie alikuwa mkali mno
Hayo n mawazo yangu tu
Michael Carrick katika midfield ya Liverpool angewekwa bench na nani ?Mm naona liverpool
Sababu n hii, timu zote mbili ziko vzuri mno kwny foward goli n mda wowote tu ila tatzo n kuanzia hapo kwny kiungo na beki
Kwny hzo nafasi 2 liver wanawazidi man u kwa kiasi fulan hasa ukisema kuhusu beki
Kuna mchambuzi m1 alisema hv karbuni kwamba yy angemchukua vvd badala ya vidik, beki ya liver ingekuwa kikwazo mno kwa man u kuhusu kiungo hawa wa liver n vipaji halisi labda ukimtoa hendo wale kna fletcher na carrick walikuwa wazuri 7bu pia fergie alikuwa mkali mno
Hayo n mawazo yangu tu
Kikosi cha 2008 weakness yake ni beki namba 2 tu wes brown, ukitoa huyo liverpool ya sasa sidhani kama kuna mchezaji angepata namba.Man Utd ya 2008 iliyotwaa Uefa Champions League (UCL) ni moja ya kikosi bora kuwahi kutokea katika historia ya Uefa.