Man Utd UCL 2008 winners Vs Liverpool UCL 2019 winners, kipi kilikuwa kikosi kikali?


Wacha kufananisha vyura na mamba...Man U ya 2009 ni kali zaidi, hii Liverpool pia ni kali ila si kivile, yaani haijafikia level ya Man U ya mwaka 2009.
 
Hivi katika front 3 ya Tevez, Christiano Ronaldo na Wayne Rooney hiyo front 3 ya Liverpool ingeweza kutoboa kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michael Carrick katika midfield ya Liverpool angewekwa bench na nani ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikosi cha 2008 weakness yake ni beki namba 2 tu wes brown, ukitoa huyo liverpool ya sasa sidhani kama kuna mchezaji angepata namba.
 
hizo timu zote zilikua zakawaida tu, Bahati ilikua pamoja nao tu
 
Wewe ni shabiki wa man u so tuseme man u yenu ilikuwa Qonqi Furahia
 
Nilitaka nichangie lakini majibu ya mtoa mada ni kiboko aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…