MAN UTD VS MAN CITY: Somo jipya la uamzi.

Hapa Rashford alikuwa kwenye eneo la kuotea wakati mpira ukiwa unachezwa eneo la mbali kutoka kwake

View attachment 2481829

Rashford hakuugusa ule mpira japo alionekana yupo jirani sana na mpira almost kuugusa
View attachment 2481869

Tukija kwenye sheria za Offside

Sheria namba 11.2 kuhusu offside inasema

Mchezaji aliyepo katika nafasi ya kuotea wakati mpira upo katika umiliki wa wachezaji wa timu yake atahusika moja kwa moja kuwa ni offside offence iwapo

  • Kuingilia mchezo kwa kuucheza au kuugusa mpira uliopigwa na team mates wake (kitu ambacho sio kweli maana Rashford hakuugusa wala kuucheza mpira)
  • Kumuingilia mpinzani kwa
  1. kumzuia mpinzani asiucheze mpira au kumuwekea kizuizi cha wazi kinachoonesha lengo la kumzuia (Rashford hakuweka kizuizi)
  2. Kum challenge mpinzani kwa mpira au kufanya jaribio la wazi la kuucheza mpira ambao upo karibu wakati kitendo hiki kitaonekana kuwa na athari kwa mpinzani (Rashford hakuvunja sheria hii pia)
  3. Kufanya kitendo chochote ambacho kitakuwa na athari ya wazi kwenye uwezo wa mpinzani kuucheza mpira (Sheria hii inampa faida Rashford)
wewe ni FEISAL NIMESHAKUFAHAMU

UNA AKILI NYINGI SANA
 
Kuna haka katafsiri ka natembea wenyewe walikuwa wanajadili wanasema "mshambuliaji aliye kwenye nafasi ya kuotea akiwa anakimbia kuelekea kwenye mpira uliopigwa yeye akiwa tupo kwenye nafasi ya kuotea, lakini akatokea mchezaji wa timu yake ambaye hayupo kwenye nafasi ya kuotea akaucheza huo mpira basi hiyo haitahesabiwa kama ni offside"

View attachment 2482152
 
Attachments

  • 20230115_093856.jpg
    20230115_093856.jpg
    50.1 KB · Views: 1
Hapa Rashford alikuwa kwenye eneo la kuotea wakati mpira ukiwa unachezwa eneo la mbali kutoka kwake

View attachment 2481829

Rashford hakuugusa ule mpira japo alionekana yupo jirani sana na mpira almost kuugusa
View attachment 2481869

Tukija kwenye sheria za Offside

Sheria namba 11.2 kuhusu offside inasema

Mchezaji aliyepo katika nafasi ya kuotea wakati mpira upo katika umiliki wa wachezaji wa timu yake atahusika moja kwa moja kuwa ni offside offence iwapo

  • Kuingilia mchezo kwa kuucheza au kuugusa mpira uliopigwa na team mates wake (kitu ambacho sio kweli maana Rashford hakuugusa wala kuucheza mpira)
  • Kumuingilia mpinzani kwa
  1. kumzuia mpinzani asiucheze mpira au kumuwekea kizuizi cha wazi kinachoonesha lengo la kumzuia (Rashford hakuweka kizuizi)
  2. Kum challenge mpinzani kwa mpira au kufanya jaribio la wazi la kuucheza mpira ambao upo karibu wakati kitendo hiki kitaonekana kuwa na athari kwa mpinzani (Rashford hakuvunja sheria hii pia)
  3. Kufanya kitendo chochote ambacho kitakuwa na athari ya wazi kwenye uwezo wa mpinzani kuucheza mpira (Sheria hii inampa faida Rashford)
Ndo maana nikakuita utusaidie, asante Kwa maelezo yako Collina wa JF.
 
Mbona kanuni zenyewe hapa zinaonesha ni offside au mimi sijui kimalkia ukisoma hiyo preventing an opponent unaelewa nini kwa upande wako

Na hyo interfering nayo mbona iko wazi.
Kwenye tukio la Jana hiyo "preventing the opponent" haikuwepo Mkuu. Akanji Tangu anaanza kumfukuza Rashford Hakuna mahali alizuiwa kuufikia mpira. Wameanza kufukuzana akiwa Mita 4 toka kwenye mpira na umbali huo haukubadilika Hadi goli linafungwa.
 
Hapa Rashford alikuwa kwenye eneo la kuotea wakati mpira ukiwa unachezwa eneo la mbali kutoka kwake

View attachment 2481829

Rashford hakuugusa ule mpira japo alionekana yupo jirani sana na mpira almost kuugusa
View attachment 2481869

Tukija kwenye sheria za Offside

Sheria namba 11.2 kuhusu offside inasema

Mchezaji aliyepo katika nafasi ya kuotea wakati mpira upo katika umiliki wa wachezaji wa timu yake atahusika moja kwa moja kuwa ni offside offence iwapo

  • Kuingilia mchezo kwa kuucheza au kuugusa mpira uliopigwa na team mates wake (kitu ambacho sio kweli maana Rashford hakuugusa wala kuucheza mpira)
  • Kumuingilia mpinzani kwa
  1. kumzuia mpinzani asiucheze mpira au kumuwekea kizuizi cha wazi kinachoonesha lengo la kumzuia (Rashford hakuweka kizuizi)
  2. Kum challenge mpinzani kwa mpira au kufanya jaribio la wazi la kuucheza mpira ambao upo karibu wakati kitendo hiki kitaonekana kuwa na athari kwa mpinzani (Rashford hakuvunja sheria hii pia)
  3. Kufanya kitendo chochote ambacho kitakuwa na athari ya wazi kwenye uwezo wa mpinzani kuucheza mpira (Sheria hii inampa faida Rashford)
Unafaa kuwa mwama CCM maana una macho na hauoni
 
Wright philip alishapingana na refa kwa kusema rashford aliukimbiza mpira na kubadili muelekeo, kwa kitendo kile tayari anaimpact maamuzi ya kipa na mabeki. Mm naona yupo sahihi. Rashford angesimama lile lingekuwa goli, ila anakimbilia mpira na kuufata hata ulipobadili direction jambo ambalo tayari linatafsiriwa kama kumuingilia mpinzani na kujaribu kuucheza mpira wakati upo karibu kitendo ambacho kina athari kwa wapinzani wake yaani makipa na mabeki.

Iwapo utabisha swali ni kwamba Rashford kuukimbiza ule mpira hakukueffect maamuzi ya kipa na mabeki?
 
Kwenye tukio la Jana hiyo "preventing the opponent" haikuwepo Mkuu. Akanji Tangu anaanza kumfukuza Rashford Hakuna mahali alizuiwa kuufikia mpira. Wameanza kufukuzana akiwa Mita 4 toka kwenye mpira na umbali huo haukubadilika Hadi goli linafungwa.
Lilikuwepo. Tena preventing ya wazi kabisa. Unless preventing unaifefine tofauti.
 
Hapa Rashford alikuwa kwenye eneo la kuotea wakati mpira ukiwa unachezwa eneo la mbali kutoka kwake

View attachment 2481829

Rashford hakuugusa ule mpira japo alionekana yupo jirani sana na mpira almost kuugusa
View attachment 2481869

Tukija kwenye sheria za Offside

Sheria namba 11.2 kuhusu offside inasema

Mchezaji aliyepo katika nafasi ya kuotea wakati mpira upo katika umiliki wa wachezaji wa timu yake atahusika moja kwa moja kuwa ni offside offence iwapo

  • Kuingilia mchezo kwa kuucheza au kuugusa mpira uliopigwa na team mates wake (kitu ambacho sio kweli maana Rashford hakuugusa wala kuucheza mpira)
  • Kumuingilia mpinzani kwa
  1. kumzuia mpinzani asiucheze mpira au kumuwekea kizuizi cha wazi kinachoonesha lengo la kumzuia (Rashford hakuweka kizuizi)
  2. Kum challenge mpinzani kwa mpira au kufanya jaribio la wazi la kuucheza mpira ambao upo karibu wakati kitendo hiki kitaonekana kuwa na athari kwa mpinzani (Rashford hakuvunja sheria hii pia)
  3. Kufanya kitendo chochote ambacho kitakuwa na athari ya wazi kwenye uwezo wa mpinzani kuucheza mpira (Sheria hii inampa faida Rashford)

Kama hujui kitu kaa kimya
 
Kwenye tukio la Jana hiyo "preventing the opponent" haikuwepo Mkuu. Akanji Tangu anaanza kumfukuza Rashford Hakuna mahali alizuiwa kuufikia mpira. Wameanza kufukuzana akiwa Mita 4 toka kwenye mpira na umbali huo haukubadilika Hadi goli linafungwa.

Sasa ukimuondoa Rashford kwenye picha huyo Akanji atamfukuza nani? Suala tu la kuweka concentration kwa Rashford ndo offside inatokea hapo kwa maana ali influence muenendo wa ile move, ukabaji wa mabeki na maamuzi ya goalkeeper
 
Tena hizi na zile zilizozoeleka ndo zinatakiwa zibakie kuwa offside, wangebadilisha sheria hii ya kuzidi kucha au bega sometimes mpaka kalio iondolewe kuwa offside kwasababu inafanya mpira kuwa kama playstation
 
Hapa Rashford alikuwa kwenye eneo la kuotea wakati mpira ukiwa unachezwa eneo la mbali kutoka kwake

View attachment 2481829

Rashford hakuugusa ule mpira japo alionekana yupo jirani sana na mpira almost kuugusa
View attachment 2481869

Tukija kwenye sheria za Offside

Sheria namba 11.2 kuhusu offside inasema

Mchezaji aliyepo katika nafasi ya kuotea wakati mpira upo katika umiliki wa wachezaji wa timu yake atahusika moja kwa moja kuwa ni offside offence iwapo

  • Kuingilia mchezo kwa kuucheza au kuugusa mpira uliopigwa na team mates wake (kitu ambacho sio kweli maana Rashford hakuugusa wala kuucheza mpira)
  • Kumuingilia mpinzani kwa
  1. kumzuia mpinzani asiucheze mpira au kumuwekea kizuizi cha wazi kinachoonesha lengo la kumzuia (Rashford hakuweka kizuizi)
  2. Kum challenge mpinzani kwa mpira au kufanya jaribio la wazi la kuucheza mpira ambao upo karibu wakati kitendo hiki kitaonekana kuwa na athari kwa mpinzani (Rashford hakuvunja sheria hii pia)
  3. Kufanya kitendo chochote ambacho kitakuwa na athari ya wazi kwenye uwezo wa mpinzani kuucheza mpira (Sheria hii inampa faida Rashford)
Hivi kuukimbilia mpira siyo sehemu ya kuucheza mpira? Mimi naamini kuukimbilia mpira ni sehemu ya kuucheza mpira!! Rashford anaonekana wazi akiwa katika harakati za kuukimbilia mpira!! Hiyo ni offside ya wazi
 
Kuukimbilia sio kuucheza

Sheria zipo wazi na ndio maana nimeweka na kifungu hapo kama ushahidi

Kifungu ambacho kimeweka wazi kuwa mchezaji atahesabika yupo offside ikiwa tu ataugusa mpira
 
Sio kuugusa...ila timu yake kunufaika na uwepo wake mbele...ndomana ukikaa mbele ya kipa mchezaji wa timu yako akipiga shuti nawewe kuziba uono wa kipa kwa kuwa mbele itakua offside ile ya Rashford ni clear ameotea maana ali uguard mpira na kunufaisha timu yake kwakua mbele maana alimzuia Akanji.

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Uwepo wa Rashford mbele umeinufaisha vipi timu Mkuu?

Kwamba alifanya jaribio gani kumhadaa golikipa just ku buy time ili Fernandes auwahi mpira?

Wapi ambapo Rashford alimzuia mpinzani kuucheza mpira ili team mate wake anufaike na huo mpira?
 
Ku buy time na ku u guard mpira ulinufaisha timu yake kwani Akanji alishindwa kuufikia mpira

Back
Top Bottom