BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
wewe ni FEISAL NIMESHAKUFAHAMUHapa Rashford alikuwa kwenye eneo la kuotea wakati mpira ukiwa unachezwa eneo la mbali kutoka kwake
View attachment 2481829
Rashford hakuugusa ule mpira japo alionekana yupo jirani sana na mpira almost kuugusa
View attachment 2481869
Tukija kwenye sheria za Offside
Sheria namba 11.2 kuhusu offside inasema
Mchezaji aliyepo katika nafasi ya kuotea wakati mpira upo katika umiliki wa wachezaji wa timu yake atahusika moja kwa moja kuwa ni offside offence iwapo
- Kuingilia mchezo kwa kuucheza au kuugusa mpira uliopigwa na team mates wake (kitu ambacho sio kweli maana Rashford hakuugusa wala kuucheza mpira)
- Kumuingilia mpinzani kwa
- kumzuia mpinzani asiucheze mpira au kumuwekea kizuizi cha wazi kinachoonesha lengo la kumzuia (Rashford hakuweka kizuizi)
- Kum challenge mpinzani kwa mpira au kufanya jaribio la wazi la kuucheza mpira ambao upo karibu wakati kitendo hiki kitaonekana kuwa na athari kwa mpinzani (Rashford hakuvunja sheria hii pia)
- Kufanya kitendo chochote ambacho kitakuwa na athari ya wazi kwenye uwezo wa mpinzani kuucheza mpira (Sheria hii inampa faida Rashford)
UNA AKILI NYINGI SANA