MAN UTD VS MAN CITY: Somo jipya la uamzi.

wewe ni FEISAL NIMESHAKUFAHAMU

UNA AKILI NYINGI SANA
 
Attachments

  • 20230115_093856.jpg
    50.1 KB · Views: 1
Ndo maana nikakuita utusaidie, asante Kwa maelezo yako Collina wa JF.
 
Mbona kanuni zenyewe hapa zinaonesha ni offside au mimi sijui kimalkia ukisoma hiyo preventing an opponent unaelewa nini kwa upande wako

Na hyo interfering nayo mbona iko wazi.
Kwenye tukio la Jana hiyo "preventing the opponent" haikuwepo Mkuu. Akanji Tangu anaanza kumfukuza Rashford Hakuna mahali alizuiwa kuufikia mpira. Wameanza kufukuzana akiwa Mita 4 toka kwenye mpira na umbali huo haukubadilika Hadi goli linafungwa.
 
Unafaa kuwa mwama CCM maana una macho na hauoni
 
Wright philip alishapingana na refa kwa kusema rashford aliukimbiza mpira na kubadili muelekeo, kwa kitendo kile tayari anaimpact maamuzi ya kipa na mabeki. Mm naona yupo sahihi. Rashford angesimama lile lingekuwa goli, ila anakimbilia mpira na kuufata hata ulipobadili direction jambo ambalo tayari linatafsiriwa kama kumuingilia mpinzani na kujaribu kuucheza mpira wakati upo karibu kitendo ambacho kina athari kwa wapinzani wake yaani makipa na mabeki.

Iwapo utabisha swali ni kwamba Rashford kuukimbiza ule mpira hakukueffect maamuzi ya kipa na mabeki?
 
Kwenye tukio la Jana hiyo "preventing the opponent" haikuwepo Mkuu. Akanji Tangu anaanza kumfukuza Rashford Hakuna mahali alizuiwa kuufikia mpira. Wameanza kufukuzana akiwa Mita 4 toka kwenye mpira na umbali huo haukubadilika Hadi goli linafungwa.
Lilikuwepo. Tena preventing ya wazi kabisa. Unless preventing unaifefine tofauti.
 
Kama hujui kitu kaa kimya
 
Kwenye tukio la Jana hiyo "preventing the opponent" haikuwepo Mkuu. Akanji Tangu anaanza kumfukuza Rashford Hakuna mahali alizuiwa kuufikia mpira. Wameanza kufukuzana akiwa Mita 4 toka kwenye mpira na umbali huo haukubadilika Hadi goli linafungwa.

Sasa ukimuondoa Rashford kwenye picha huyo Akanji atamfukuza nani? Suala tu la kuweka concentration kwa Rashford ndo offside inatokea hapo kwa maana ali influence muenendo wa ile move, ukabaji wa mabeki na maamuzi ya goalkeeper
 
Tena hizi na zile zilizozoeleka ndo zinatakiwa zibakie kuwa offside, wangebadilisha sheria hii ya kuzidi kucha au bega sometimes mpaka kalio iondolewe kuwa offside kwasababu inafanya mpira kuwa kama playstation
 
Hivi kuukimbilia mpira siyo sehemu ya kuucheza mpira? Mimi naamini kuukimbilia mpira ni sehemu ya kuucheza mpira!! Rashford anaonekana wazi akiwa katika harakati za kuukimbilia mpira!! Hiyo ni offside ya wazi
 
Kuukimbilia sio kuucheza

Sheria zipo wazi na ndio maana nimeweka na kifungu hapo kama ushahidi

Kifungu ambacho kimeweka wazi kuwa mchezaji atahesabika yupo offside ikiwa tu ataugusa mpira
 
Kuukimbilia sio kuucheza

Sheria zipo wazi na ndio maana nimeweka na kifungu hapo kama ushahidi

Kifungu ambacho kimeweka wazi kuwa mchezaji atahesabika yupo offside ikiwa tu ataugusa mpira
Sio kuugusa...ila timu yake kunufaika na uwepo wake mbele...ndomana ukikaa mbele ya kipa mchezaji wa timu yako akipiga shuti nawewe kuziba uono wa kipa kwa kuwa mbele itakua offside ile ya Rashford ni clear ameotea maana ali uguard mpira na kunufaisha timu yake kwakua mbele maana alimzuia Akanji.

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Uwepo wa Rashford mbele umeinufaisha vipi timu Mkuu?

Kwamba alifanya jaribio gani kumhadaa golikipa just ku buy time ili Fernandes auwahi mpira?

Wapi ambapo Rashford alimzuia mpinzani kuucheza mpira ili team mate wake anufaike na huo mpira?
 
Ku buy time na ku u guard mpira ulinufaisha timu yake kwani Akanji alishindwa kuufikia mpira

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…