Akanji alikuwa mbali nyuma ya mpira hakuweza kuuwin ule mpira kutokana na speed ya mpira na yeye havikuwa na uwiano mzuriKu buy time na ku u guard mpira ulinufaisha timu yake kwani Akanji alishindwa kuufikia mpira
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Sio kweli umeweka ushabiki mzeee movement ya mpira akanji na Rashford ipo wazi kabisa hadi Bruno anatokea kufungaAkanji alikuwa mbali nyuma ya mpira hakuweza kuuwin ule mpira kutokana na speed ya mpira na yeye havikuwa na uwiano mzuri
Kwa maana ya kwamba pale hata umtoe Rashford bado Akanji asinheweza kuupata ule mpira
upo sahihi lkn sheria inataka ukiwa offsid3 isimame au utembeeIle ni offside uwepo wa Rashford ulizuia Akanji kuufikia mpira na kunufaisha timu yake,kweli sheria inasema kuwa katika eneo la kuotea sio dhambi dhambi ni timu yako kunufaika wewe mchezaji kuwa katika eneo hilo,na kweli Manure jana walinufaika kwa uwepo wa Rashford pale mbele kwani ali ugard mpira nahivyo kuipa advantage timu yake ile jana inafanana na shuti likipigwa mchezaji aliyeotea akaziba vision ya kipa kuuona mpira hata kama hajaugusa ila kwakua atamzuia kipa kuona mpira itatafsiriwa kuwa ameotea na jana Rashford alizuia mpira usipotee kwa kuu guard ivyo Akanji akashindwa kuuchukua mpira.
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Sasa kisheria kufanya movement sio offenceSio kweli umeweka ushabiki mzeee movement ya mpira akanji na Rashford ipo wazi kabisa hadi Bruno anatokea kufunga
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Ukisema kuukimbilia mpira siyo kuucheza hapo utakuwa umepotosha dhana nzima ya kucheza mpira. Unapokimbilia mpira maana yake umeuingilia mchezo na kuna athari kwa wachezaji wa upinzani kama vile kukata tamaa maana wewe unayeukimbilia mpira unanufaishwa na kuwa kwenye nafasi ya kuotea hata kama bado hujaugusa mpira.Kuukimbilia sio kuucheza
Sheria zipo wazi na ndio maana nimeweka na kifungu hapo kama ushahidi
Kifungu ambacho kimeweka wazi kuwa mchezaji atahesabika yupo offside ikiwa tu ataugusa mpira