MAN UTD VS MAN CITY: Somo jipya la uamzi.

MAN UTD VS MAN CITY: Somo jipya la uamzi.

Ku buy time na ku u guard mpira ulinufaisha timu yake kwani Akanji alishindwa kuufikia mpira

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Akanji alikuwa mbali nyuma ya mpira hakuweza kuuwin ule mpira kutokana na speed ya mpira na yeye havikuwa na uwiano mzuri

Kwa maana ya kwamba pale hata umtoe Rashford bado Akanji asinheweza kuupata ule mpira
 
Akanji alikuwa mbali nyuma ya mpira hakuweza kuuwin ule mpira kutokana na speed ya mpira na yeye havikuwa na uwiano mzuri

Kwa maana ya kwamba pale hata umtoe Rashford bado Akanji asinheweza kuupata ule mpira
Sio kweli umeweka ushabiki mzeee movement ya mpira akanji na Rashford ipo wazi kabisa hadi Bruno anatokea kufunga

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
io ni offside nisikillize

mtu akianza tu kuukimbilia mpira imeisha io ni offside sasa rashford alishaanza j
Ile ni offside uwepo wa Rashford ulizuia Akanji kuufikia mpira na kunufaisha timu yake,kweli sheria inasema kuwa katika eneo la kuotea sio dhambi dhambi ni timu yako kunufaika wewe mchezaji kuwa katika eneo hilo,na kweli Manure jana walinufaika kwa uwepo wa Rashford pale mbele kwani ali ugard mpira nahivyo kuipa advantage timu yake ile jana inafanana na shuti likipigwa mchezaji aliyeotea akaziba vision ya kipa kuuona mpira hata kama hajaugusa ila kwakua atamzuia kipa kuona mpira itatafsiriwa kuwa ameotea na jana Rashford alizuia mpira usipotee kwa kuu guard ivyo Akanji akashindwa kuuchukua mpira.

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
upo sahihi lkn sheria inataka ukiwa offsid3 isimame au utembee
 
Kuukimbilia sio kuucheza

Sheria zipo wazi na ndio maana nimeweka na kifungu hapo kama ushahidi

Kifungu ambacho kimeweka wazi kuwa mchezaji atahesabika yupo offside ikiwa tu ataugusa mpira
Ukisema kuukimbilia mpira siyo kuucheza hapo utakuwa umepotosha dhana nzima ya kucheza mpira. Unapokimbilia mpira maana yake umeuingilia mchezo na kuna athari kwa wachezaji wa upinzani kama vile kukata tamaa maana wewe unayeukimbilia mpira unanufaishwa na kuwa kwenye nafasi ya kuotea hata kama bado hujaugusa mpira.

Kwa maoni yangu kama tafsiri inayokubalika ya kuingilia mchezo ni mpaka uuguse mpira, hapo kuna mapungufu ya msingi yanayohitaji kufanyiwa marekabisho!
 
Back
Top Bottom