Man city mbovu Bila Guardiola wala Mancini wala Pellegrini....imeifunga hiyo Manchester United hapo OT mwaka huo huo 2008 [emoji23]2-1...
Sasa tuseme manager Ni pep Guardiola ....katika watu ambao Alex Ferguson hataman kukutana nao live Ni pep ,maana kashaigalagaza hio united mpaka mkono ulikuwa unatetemeka huku mkojo ukiwa unataka kutoka ....
Man city will humiliate that united ....