Manabii, mitume, maaskofu, wachungaji msikilizeni huyu mjue wajibu wenu kwenye siasa

Manabii, mitume, maaskofu, wachungaji msikilizeni huyu mjue wajibu wenu kwenye siasa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
CCM inaongoza kwa kufanya siasa makanisani, lakini Kanisa likikemea mambo ya hovyo yanayofanywa na CCM kwenye siasa, CCM husema tusichanganye siasa na dini!

Kwa CCM viongozi wa kanisa wanapoisifia huwa si kuchanganya siasa na dini, ila CCM wakikosolewa ndiyo huwa siasa imechanganywa na dini.

Hii "clip" hapa chini ni ya James Talarico ambaye ni mwanasiasa mwakilishi (Representative) Mchungaji na Mwalimu toka Austin kwenye Jimbo Texas nchini marekani.

Viongozi wa kanisa mnaweza kuangalia kinachosemwa kwenye hii clip na kuhusianisha na wajibu wenu kwenye siasa za Tanzania

CCM hamna bando hivyo najua hamuwezi kuangalia hii clip!!

 
Back
Top Bottom