Manabii, Mitume, so called watumishi wa Mungu wa kufaya MIUJIZA/UPAKO wameshindwa kufanya miujiza mvua zikanyesha!

Manabii, Mitume, so called watumishi wa Mungu wa kufaya MIUJIZA/UPAKO wameshindwa kufanya miujiza mvua zikanyesha!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao.
Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc.
Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha?

Tunao zaidi ya 400

1741171325222.png
 
Mitume na manabii huwa haziivi na watawala, ukiona zinaiva hakuna mitume/manabii hapo. Kuna sababu ya za kiografia za kutokunyesha mvua, hao manabii na mitume wa mwendokasi hawana uwezo wa kuomba mvua inyeshe, hawa ni manabii wa Baali hawana upako wa Mungu
 
Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc.
Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha?
Hawana msaada wowote. Wanauza ndoto. "ukimuamini mungu utapata pesa", "ukimuamini mungu utapona", hizo ni ndoto.

bahati, mikosi na nyota ni dhana tu, abstract concepts

mwamposa angekuwa anatoa utajiri dar nzima si ingekuwa na mafogo?

watu wanafanya false attribution tu, ukienda kwa mwamposa leo, ukapata kazi wiki kadhaa zijazo, utaamini ni mwamposa kwasababu unamuwaza na kumuota!
 
Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao.
Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc.
Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha?

Tunao zaidi ya 400

View attachment 3259709
Wakati mwingine mvua inaweza kukosekana kwa sababu ya dhambi za watu.
Kumbukumbu la Torati 11:16-17
"Jitunzeni nafsi zenu, mioyo yenu isije ikadanganywa, mkageuka na kutumikia miungu mingine na kuiabudu; hasira za BWANA zikawaka juu yenu, naye akafunga mbingu kusiwe na mvua, wala nchi isitoe matunda yake; mkaangamia kwa upesi mtoke katika nchi nzuri awapayo BWANA."

1 Wafalme 8:35-36 BHN
Mvua isiponyesha kwa sababu wametenda dhambi dhidi yako, wakiomba wakielekea mahali hapa na kulikiri jina lako, pia wakiziacha dhambi zao unapowaonya, tafadhali, uwasikie kutoka huko mbinguni, na usamehe dhambi za watumishi wako..."

Watu wakitenda sawasawa na mapenzi ya Mungu, mvua zinaweza kunyesha kwa wakati mwafaka(kwa majira yake).
Kumbukumbu la Torati 28:12 BHN
"Mwenyezi-Mungu atawafungulieni hazina yake nzuri kutoka mbinguni na kunyesha mvua katika nchi kwa wakati wake, na kubariki kazi zenu..."

Pia, Andiko la Kumbukumbu la Torati 11:13-14 linathibitisha kuwa utii kwa Mungu huleta mvua kwa wakati wake:
Basi, mkizitii amri zangu ninazowapeni leo, mkampenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mkamtumikia kwa moyo wenu wote na kwa roho yenu yote, yeye ataipatia mvua nchi yenu wakati wake, mvua za masika na mvua za vuli, nanyi mtavuna nafaka yenu..."

Maandiko hayo yanaonyesha wazi kuwa mvua isiponyesha kwa wakati wake, sababu inaweza kuwa ni dhambi au uovu wa watu.

Hivyo Mitume na Manabii hata wakiwa 500 hawawezi kutenda miujiza inayopingana na mapenzi ya Mungu. Kama Mungu ameamua kuwaadhibu watu kwa uovu wao, Mitume na Manabii wanachoweza sana sana kufanya ni kuomba Mungu awasamehe watu dhambi zao.

NAKUSHAURI uandike uzi mpya wenye "title" au kichwa hiki:
"Enyi mashoga, enyi malaya, enyi Atheists(mnaodai eti Mungu hayupo), enyi wakataa ndoa lakini hamkatai uzinzi na uasherati...TUBUNI HARAKA, MVUA INYESHE"
 
Hawana msaada wowote. Wanauza ndoto. "ukimuamini mungu utapata pesa", "ukimuamini mungu utapona", hizo ni ndoto.

bahati, mikosi na nyota ni dhana tu, abstract concepts

mwamposa angekuwa anatoa utajiri dar nzima si ingekuwa na mafogo?

watu wanafanya false attribution tu, ukienda kwa mwamposa leo, ukapata kazi wiki kadhaa zijazo, utaamini ni mwamposa kwasababu unamuwaza na kumuota!
uko very correct......kuna pia coincidence.....
 
Back
Top Bottom