Hawana msaada wowote. Wanauza ndoto. "ukimuamini mungu utapata pesa", "ukimuamini mungu utapona", hizo ni ndoto.Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc.
Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha?
Wakati mwingine mvua inaweza kukosekana kwa sababu ya dhambi za watu.Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao.
Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc.
Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha?
Tunao zaidi ya 400
View attachment 3259709
uko very correct......kuna pia coincidence.....Hawana msaada wowote. Wanauza ndoto. "ukimuamini mungu utapata pesa", "ukimuamini mungu utapona", hizo ni ndoto.
bahati, mikosi na nyota ni dhana tu, abstract concepts
mwamposa angekuwa anatoa utajiri dar nzima si ingekuwa na mafogo?
watu wanafanya false attribution tu, ukienda kwa mwamposa leo, ukapata kazi wiki kadhaa zijazo, utaamini ni mwamposa kwasababu unamuwaza na kumuota!